@RadioCitizenFM Niko lock at Nyahururu area Kamau kuna mama moja tu halikuwa na nyumba ya mapati moja kijiji msima tunaenda kujota maji kwake hanatupimia kila mtu na mtungi moja moja #GoodEveningKenya
@RadioCitizenFM Kamau niko lock at Nyahururu town nilisoma na dem mwingine halikuwa hanatuambia hatakuwa doctor at longisa hospital tukienda hanatibu Sisi zai hako salon hanaitwa fancy chelangat #GoodEvinning goodnight Kamau I like the show