You need Staff uniform?🤔
Pata Tshirt safi iliyoprintiwa kwa logo yako @ 14,000/= Tshirt pamoja nakuprint.
Minimum quantity 5Pcs
Tupo Dar Ubungo -Mawasiliano
0769 955 326
Kila mwanao apigapo hatua, mpe zawadi nzuri ya ukumbusho. Chupa kama hizi ni moja wapo ya hizo zawadi. Na kwetu @SantaPrint_tz unapata kwa Tshs 25,000/=
+255769955326
Sare zinawafanya muonekane watu makini kwenye shughuli zenu.
Zaidi zinaongeza kwa kiwango kikubwa sana ukuwaji wa brand yenu.
Vile vile inawapa urahisi wa kuonekana professional kwenye field unayodeal nayo.
Embroidery (Darizi) kwenye Tshirt ndio teknolojia kwenye upande wa printing ambayo 'Life Span' yake ni kubwa.
Siioni DTF wala OBM kuwa kwenye nafasi ya kucompete na Darizi.
Na ndio maana tunasema "Darizi huchakaa na nguo yako"
Tshirt + Kudarizi ni 14,000/= tu
Naomba Nisaidie Kurepost Hizi Sandals Bado Zipo Na Bei Ni Ileile Ya Mtanzania😊
🔸Zinapatikana Jumla Na Rejareja
🔸Price Ni 15k
🔸 Whatsapp/Call 0688759534
🔸Size 40-46 With Different Style
🔸Delivery Nchi Nzima Kwa Gharama Za Mteja
📍 DSM
Kindly Repost Thankyou❤️
Tisheti za shule ya Msingi na Sekondari nazo tunaprint.
Material yetu ni mazuri kabisa cotton yake ni 100%
Ni nadra sana tisheti zetu kutoa manyoya.
Wasiliana nasi 0769 955 326
Dar Ubungo -Mawasiliano stand
Kwa mahitaji ya huduma zote za LARGE FORMAT.
Banner
Stickers
Roll up Banner
P. O. P
Canvas
Flag Materials
Tupo Dar Ubungo -Mawasiliano stand
Call/Text/Whatsapp 0769 955 326
#CARBRANDING
Tangaza biashara yako au tukio lako lolote kwa kufanya branding ya gari na sisi, unaweza chagua whether it's
1. Full Vehicle Wraps
2. Partial Wraps
3. Window Decals
4. Vinyl Lettering
5. Hood and Roof Graphics
6. Car Magnets
Tupo Dar Ubungo -Mawasiliano
AGIZA GARI YA BIASHARA, AU SCHOOL BUS NASI, PIA TUNATOA USHAURI WA GARI YOYOTE ILE, UNAYOHITAJI KABLA HATUJAKUAGIZIA
Malipo Yetu ni Kwa Awamu Mbili (2), Malipo Ya Kwanza ni Gharama za Kuagiza Gari Mpaka inafika Nchini
Malipo Ya Pili ni Gharama za bandari
0658258082
@Av_Magari
KWA NINI UTUMIE STICKER ZETU KUBANDIKA?
√. Hazishiki vumbi, hivyo ni rahisi mahali ulipobandika kuendelea kuwa pasafi.
√. Hazilowani na maji hata kidogo, mvua ikinyesha au maji yakimwagikia kwenye sticker huteleza na kuiacha Sticker ikiwa kavu bila athari yoyote.
√. Zina Gundi imara kabisa ambayo inaifanya Sticker kudumu kwa muda mrefu mpaka pale utakapoamua kubadilisha sticker nyingine.
√. Hazipauki kiurahisi hata kama zikielekezwa na miale ya jua hivyo kuzifanya kubaki na uhalisia wa design yake kwa muda mrefu.