Mbogi yote drip clean, tumepiga luku fisa na madini kaa bila finyo tukiadisia mambling, na minoko zote ni mangoto ka sita, big black mister, bling back mister ,big poll Insta, bad like Batista, fresh boys inadi yard ka rada tukipita, tushapiga luku kuja tukule mapicha. Wanjapi!🕺
Unatulia hivi unaskia asubuhi unaskia
"Kaa"
Mayai ya Kwanza
Kaa
Ya pili
Kaa
Ya tatu
Kaa ya nne and continuing
Surely waithera did you come to see me or my eggs?
Y'alls siblings hit you? As grown ups mtu tu anakuja anakupiga? And you go on talking and stuff? Miss me with that shit aki. You hit me and you're dead to me. I stopped entertaining shit nikajua even siblings ain't shit aki. You will go
The main reason I like being at mines ni kama Sasa leo nimeamkia six eggs and I’m oven roasting chicken for lunch nikule na ugali lunch. Sijipei ata chance ya kuskia njaa na sina mtu kwa maskio akiniambia “hizo mayai zote” na “unakula kama fundi” juu nilijinunulia na pesa yangu.