Kiwanda cha SOSANUBU, kinachotengeneza vyakula na vinywaji asilia vyenye manufaa kwa afya ya binadamu, kinawahimiza wengi kukaribia bidhaa zake. Gilbert Nankwahafi, mtaalamu wa lishe bora, anasema SOSANUBU ni kiwanda kiboko yao ambacho hutengeneza bidhaa bora kwa afya ya binadamu
Kwa mujibu wa Mganga Gilbert Nkwahafi, kiongozi wa kiwanda SOSANUBU, dawa zao ni bora na zimewasaidia wengi kupona.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Simu:69087756/79357852/77936747.
Hizi ni baadhi ya dawa zinazotengenezwa na kiwanda cha #SOSANUBU kwa lengo la kutibu magonjwa mbalimbali.
Kila mwenye tatizo la kiafya anatakiwa kufika kiwandani hapo kilichoko mtaa wa Rohero jijini Bujumbura.
🦆🪿Mjue bata: ni ndege ambaye hupenda kuishi majini mwenye umbo kubwa kuliko kuku na miguu mifupi na mipana nyayoni ambaye hufugwa.Nyama ya bata huwavutia wengi na inasadikiwa kuwa na utamu. Bata anataga mayai yaliyo mapana kuliko yale ya kuku.
Kiwanda "SOSANUBU" (Société pour la Santé Nutritionnelle au Burundi) kinaandaa vyakula na vinywaji mbalimbali ambavyo zaidi ya kukidhi njaa ni tiba na kinga dhidi ya magonjwa mbalimbali.
TUJIFUNZE KISWAHILI_ UJUE MSAMIATI «AJARI» NA «AJALI»
Maneno «Ajari» na «Ajali» yanakaribiana kimatamshi lakini yana maana tofauti.
https://t.co/6i72eQzUGV
Kiwanda "SOSANUBU" (Société pour la Santé Nutritionnelle au Burundi) kinaandaa vyakula na vinywaji mbalimbali ambavyo zaidi ya kukidhi njaa ni tiba na kinga dhidi ya magonjwa mbalimbali.
Mganga Gilbert Nankwahafi Mwenyekiti wa kiwanda SOSANUBU (Société pour la Santé Nutritionnelle au Burundi 🇧🇮) anaeleza kwamba dawa asilia ambazo ni mitishamba ni kiboko yao.
Kama ilivyokuwa enzi hizo babu zetu walikuwa wakipata tiba ya mitishamba anasema Nankwahafi.
Kwa hiyo, anasema hakuna haja kupuuza dawa hizo ambazo hutibu maradhi mbalimbali
Baraza "@CentreSeruka" linakadiria kwamba watu 5977_ wamepitia unyanyasaji wa kijisia, tangu mwaka 2020 hadi 2024. Wengi ni wanawake, asilimia 94, wanaume asilimia 6 (6%).
#SaprossBurundi#Jinsia.
⭕ Katika muktadha wa kampeni ya siku 16 dhidi ya unyanyasaji wa wanawake na wasichana, baraza @CentreSeruka limeandaa, jijini Bujumbura, mkutano wa kuweka bayana hali halisi ya unyanyasaji wa kingono na kijinsia
Katika hotuba yake, mwakilishi wa gavana wa Bujumbura amekiri kwamba unyanyasaji kwa wanawake na wasichana bado upo.
"Hali hii inakwamisha maendeleo", amesema.
⚽ Laliga:
Leo, usiku [22h00], timu mbili kabambe huko Hispania [Barcelona na Atletico Madrid) zitateremka uwanjani kupimana nguvu.
Barça ikishinda mechi hii itakuwa imejiweka vizuri kwenye nafasi ya kwanza kwa tofauti ya pointi nne dhidi ya Real Madrid walioko nafasi ya pili
TUNASEMA: «MANJEGERE» AU «NJEGERE»?
Utamskia mtu akisema «manjegere» akitaka kusema «Njegere» kwa wingi. Ni kosa.
Neno «njegere»/«ubushaza» kwa umoja na kwa wingi linabaki hivo hivo.
Kwa hiyo, kamwe tusiseme «manjegere» bali tuseme «Njegere».
#Rumonge_
Wauzaji wa pombe 10 pamoja na wateja wao 18 wametozwa faini, asubuhi ya alhmisi 6 novemba, kwa kuuza na kunywa pombe muda wa kazi.
Kila muuzaji ametozwa faini ya thelathini elfu (30.000FBu) huku mteja akitozwa kumi elfu (10.000FBu).
#SaprossBurundi#Jamii
Ujenzi wa ghorofa unahitaji miti kwa ajili ya nguzo za kupandia.Mkurugenzi wa ofisi ya kulinda mazingira_ #OBPE anawataka raia kubadili mfumo wa kutumia miti kama nguzo.
Berchimas Hatungimana anaeleza utumiaji wa nguzo za vyuma ni njia mbadala ya kuepukana na ukataji miti