@JafaryMsangi@godbless_lema Hizo rasilimal wanazo but still nchi yako bado inateseka na kukaa giza hizo rasilimal zinasaidia nini. Wazaz wetu wanasema kipind cha wakoloni waliishi maisha mazuri sana elimu, Afya barabara Vingine vimebaki bado tunaviona. Miaka 60 ya uhuru pamoj na rasilimal zote bora waje tu