Mwakinyo ni boxer mzuri, ila alikosa hekima na maarifa, majungu kwa wenzake ambao hawajaweza fika kiwango chake, hajui kuwa Mungu ndio anayetoa na ndio anayeondoa
Alitumia sana social media kukejeli wenzake, mara hawez cheza na mtu wa kiwango cha chini, nilimwambia sio sawa
Bajeti ya 2022/2023
1. Msamaha wa VAT kwa mafuta ya kula
2. Kupunguza makato ya miamala
3. Elimu bila malipo kwa kidato cha 5 na 6
4. Kufuta VAT kwa pembejeo za kilimo
Kwa hizi tu hii bajeti ni nzuri sana, kwa kweli mama hapa anastahili kupongenzwa
@mwigulunchemba1@SuluhuSamia
@CarolNdosi ni haja kubwa, right??
Kama ndivyo iko ivi
Haja kubwa ni mkusanyiko wa chakula kilichoingizwa ndani ambayo haitumiki mwilini,na ikishakuwa tayar kutolewa haina faida yyte mwilini na inawezasababisha kupasuka kwa tumbo (colon) na kuharibu mmemg'enyo wa chakula kingine
Kumbe watu wengine unawaona wana akili kumbe ujinga umewajaa, kwani umoja wa mataifa ndio unawafanya watu wawe wa aina fulani??? Unawajua wamasai kweli wewe, kumbe mazuzu nao wanavaa suti
My team @ManUtd knows kilimanjaro mountain in Tanzania @tzparks
Its an amazing thing, we are welcoming everyone at Manchester to visit mount Kilimanjaro and other parks in this beautiful country lake @SerengetiParkTz@visitngorongoro
Ukiangalia uanzishwaji wa viwanda vya vinjwaji laini, maji ya kunywa, timu ya mpira, vyombo vya usafiri vya majini na bidhaa nyingine nyingi mno, hawajaangalia biashara kwa faida bali ni kitu gani wananchi wanahitaji kwa wakati gani, eneo lipi
@zayedbakhresa@ofclbakhresagrp
Bakhresa na kampuni zake @ofclbakhresagrp Wamekuwa wakianzisha vitu kama biashara sio kwa kuamgalia fursa zilipo, bali ni nini wananchi wanahitaji, au tatizo linalowakumba watanzania na jamii kwa ujumla
@zayedbakhresa@Abusaid2006@AllyBakhresa