@ExMayorUbungo@HecheJohn Usitupigie hadithi za uwongo uwongo tu. Hizo ndio zile hoja zenu nyepesi ambazo hata haimshawiwishi mtanzania. Mmeishiwa hoja kila siku No reform No election. Hivi maneno haya ya kiingereza utamwambia mwananchi wa kawaida??!!!
@Nipashetz Hiki chama kinataka madaraka kwa nguvu ambayo siyo ya kawaida. Sasa madaraka hayatafutwi kwa njia nguvu kiasi hicho. Chama hicho kiuze sera na hoja zake kwa watanzania kama kinatufaa au la! Manguvu yote hayo tunachukulia kama ulafi wa madaraka na hatukitaki kwa mtindo huu.
@Nairobi_Leo You are the real gentleman. P/se keep on to educate these young generations. It is as if they were not grown up from their Parents. Asiyefunzwa na mama yake atafunzwa na malimwengu.
@Mrsiyengo@Ambele_Young @mswahili___ @KingPablotz@Kingvannytz_ Huwezi kuyalinganisha aliyoyafanya Mandela na hayo ya Chadema. Uchu wa madaraka na kujinufaisha kunawasumbua.
Hivi CDM tangu kimeanzishwa mbona hatujawahi kusikia imewasaidia vijana kadhaa kusomeshwa, kusaidia wajasiria mali kadhaa, kuwezesha vikundi vya kina mama na Wazee???
@TitoMagoti Usiwatukane Aslari wa magereza, hao ni watumishi wa umma wakitekeleza majukumu yao. Uwe na heshima na adabu, mdomo wako usijae harufu za chooni kwa kuwatukana askari hao.
@lifeofmshaba Chadema mbona kimekuwa chama cha ajabu? Mara waende kwa mashoga zao Ulaya!!! Sasa hivi hata mawakili kanjanja Kenya!! Hivi kweli mnajielewa au bangi tu zinawasumbua? Hata Kenya nchi maskini tu mnaenda kukodi mawakili?? Mawakili wa Tz mnajidhalilisha kweli!! Hamkusoma ninyi???
@mpaweniman90399@lifeofmshaba Kenya walipokuwa kwenye vurugu, ninyi mlituma mawakili, muone mnavyojidhalilisha, Kenya yenyewe ni vurugu tu, ninyi ni mamluki wa nchi hii.
@HecheJohn@MarthaKarua Mbona Kenya hamkutuma mawakili wa TZ. Njaa tu zinawasumbua eti kutetea wananchi njaa zenu hizo.
Trumph alipowafutia Viza wanafunzi walioandamana kupinga Israel mbona hamkutuma hata wakili moja kwenda kuwatetea hao wanafunzi. Toeni ujinga wenu humu.
@SuluhuSamia Hongera mh. Rais wetu kwa kupambania miundombinu ya treni ambayo imetuheshimisha kama Taifa. Usafiri kati ya Dar- Dodoma umekuwa rahisi sana. Tunakuomba mabehewa ya mizigo ifungwe, tupunguze msongamano malori ktk barabara ya lami ambayo huchakaza barabara ya lami.
@MariaSTsehai@ccm_tanzania@SuluhuSamia Unabii gani huo? Mimi ni mkristo hata imeandikwa kwenye biblia, nyakati za mwisho watajitokeza manabii wa uwongo. Mungu ni wa Hekima na unabii wake utawafikia watu wake kwa kupitia watumishi wenye hekima kwa ajili ya Utukufu wake Mungu wa Mbinguni. Tusimdhihaki Mungu wetu.
@MariaSTsehai@ccm_tanzania@SuluhuSamia Wengine ni wakristo humu, hakuna unabii wa aina hii. Mungu wetu ni wa hekima sana na hakuna binadamu ye yote anayeweza kuukaribia ukuu 'a utukufu wake. Mungu wetu ni Upendo na huwatokea manabii wake kwa hekima ya kipekee.
Siyo huu ushabiki unaoelezwa hapa eti ndio unabii. HAKUNA
@muhaluro1 Hongera sana serikali kwa jitihada kubwa kuleta hayo mafanikio. Hatua muhimu sana bandari ya nchi yetu kushindana na zingine za nchi nyingine. Ni hatua muhimu sana kukuza uchumi wa nchi yetu.
@Alvn_360 Hoja muhimu sana, na tujiulize ktk hilo. Umefika wakati mwafaka tujihoji chama hicho kinachotaka kushika dola kina uwezo kweli wa kuongoza dola?
Kwa sababu sehemu ya wanachama kuhoji baadhi ya maamuzi bila kufuata katiba ya chama kunataka majawabu ya madhubuti.