@godbless_lema CDM iacheni hii nchi iendeleee kuwa na aman... nyie wenyewe ndan ya chama mmejawa na ukabila na udini itakuaje mkipewa nchi?? hamna hoja za kuwafanya watu wakubaliane na ninyi... Ndani ya chama chenu mnamakundi ya kutesa na kupiga watu itakuaje mkipewa nchi