Kama Ilivyokua Kuna watu wanatuchukia bila sababu na Hawapendi Mafanikio yetu
Pia Kuna Watu Wanapenda Sana Kuona Tumefanikiwa,Kuna Namna Wanatamani kutuonesha ila Hawawezi ila Mafanikio yenu Huwapa Furaha
Mungu Awabariki sana Watu Hawa Wawili Kwa Namna Moja au Nyingine 😊
Jumapili Moja kama hii Miaka ijayo nitakua Nimelala ndani siku nzima baada ya kutoka church alafu Wife ananiamsha Baba, Amka Unajua kesho Watoto wanarudi shule Ulisema ukirudi Church Utanipa Hela kwajili ya matumizi yao alafu kiboss Naamka Namwambia Vuta Droo hio nipe Wallet 😂😂
Hizi social media ukiziendekeza, utabaki una doubt uanaume wako Muda wote.
Mwanangu, wewe ni mwanaume uwe na hela au hauna hela, you're still a Man Kikubwa familia inakula, Mama anafuraha nyumbani, na Unafanya Majukumu Yako Inatosha Kabisa Mkuu.
Don't give yourself pressure 👊
85% Vijana Kosa kubwa sana tunalo lifanya ni kuaminisha Watu wanaotuzunguka
Kwamba Tumepiga Hatua , Hivyo inatulazimu kuishi nje ya Uhalisia wetu.
Usikubali kujiumiza Ili Hali unajua nini unapitia baada ya Majigambo ya Mitandaoni Sababu Huwezi Jidanganya Kila Siku , Be real 💪
Kuna time unatamani uaminike kwa sababu wewe si yule wa mwanzo, Kuna Vitu Ulikua unafanya ila sasa sio priority Tena kutoka na Muda.
Ila Historia yako Inagoma watu Kukuamini , imani yao kwenye mabadiliko Yako ni ndogo sana
Kua mchaguzi Mzuri Wa Maisha Yako Kesho Yako ipo Leo 👊
I hate when someone starts a business or a dream, then quits halfway. Success needs consistency, patience, and discipline. Most people don't fail because it's impossible they fail because they stop too soon. Keep going. Always.
TUJIKAZE MBELE KWEUPE 📌
Nimeona Discussion ya Feminist Wanasema Mwanamke Huwezi kumpikia au Kumfulia Mwanaume ambaye ajakuoa at the same time Mwanaume ambaye ajakuoa Unalala naye ?? na Pia Wanataka akuprovide Matumizi Yako?? Mimi sijui Hata Akili Mnawekaga wapi asee 😂
Huwezi kufanikiwa peke yako, unahitaji watu.
Na hao watu huwapati kirahisi kama unavyofikiria, lazima uwatafute.
Na kabla ya kuwatafuta, ni lazima ujitafute wewe kwanza.
Then inakuwa rahisi kuwapata hao watu.
1. Watakuamini,
2. Watakupa nafasi,
3. Watakuonesha fursa.