The curl-crested aracari is the only toucan with curly feathers
It is famous for the tightly curled feathers on its head, a feature unique among toucans
Mimi kama kuna mtu nahurumia sahii,ni ile ka boyfriend ya Eve Maina. Sababu ule jamaa unajua sahii ata amani hapati. Those of us who have had attractive girlfriends before that get hit on after every 3 minutes know the anxiety that relationship usually has. Jamaa inajua isipomaintain bar hapo juu,fisi wanapita na nyama yake. Jamaa inaingia twitter namna hii inapata tu ni Mapoem bwana.
Na kitu watu hawajui kuhusu fisi,Fisi iko na kitu inaitwa Endurance. It doesn’t run fast,but runs for long. Fisi itakukimbisa kutoka Makueni mpaka eldoret,ukianguka ufaint juu ya kuchoka,fisi inakusosi. Woi! Sisi kama MTM almaarufu Mwiki Team Mafisi tuko ngangari mbaya sana. Apa mbele mambo inaenda kuchemka vanee