Hawa ni kuku bora namba mbili duniani....na wanapatikana Amerika Kusini..Kuku mmoja shilingi laki nane hadi milioni moja...utajua zaidi kupitia #kilimokwanza#KilimoKwanzaTVE @tvetanzania Azam TV Channel no 407|Dstv no 295| StarTimes no 115 |Digitek 206 | Zuku no 214
Mada yetu wiki hii: KUFUATIA RIPOTI YA MAONI YA WANANCHI KUHUSU UCHUMI WA TAIFA NA TOZO ZA MIAMALA YA FEDHA KUPITIA SIMU; NINI KIFANYIKE ILI KUBORESHA MAENEO YENYE CHANGAMOTO?
Wiki hii kipindi cha kilimo kwanza kinakuletea makala kuhusu Kilimo cha mashamba ya Malisho kwa ufugaji bora na wakisasa.@tvetanzania
Azam TV Channel no 407|Dstv no 295| StarTimes no 115 |Digitek 206 | Zuku no 214
YouTube #EDigitalUpdates au Kilimokwanzatv @wizarayamifugo
Wiki hii kipindi cha kilimo kwanza kinakuletea makala kuhusu Kilimo cha Mboga mboga, karibu ujifunze hii ni fursa nyingine ya kujiingizia kipato.
Ni kuanzia saa tatu kamili usiku kupitia @tvetanzania
Azam TV Channel no 407|Dstv no 295| StarTimes no 115 |Digitek 206 | Zuku no 214
Wiki hii kipindi cha kilimo kwanza kinakuletea makala kuhusu ufugaji wa viumbe maji waitwao Jongoo bahari, Tango bahari au kwa kiingereza huitwa sea cuccumber
kupitia @tvetanzania
Azam TV Channel no 407|Dstv no 295| StarTimes no 115 |Digitek 206 | Zuku no 214
Usikose!
Mada ya kudorora kwa uchumi ama nchi kufilisika ilikuwa Mezani #mezaniefm , nadhani kuna mengi pia yakujifunza . Asanteni sana Mh. David Kafulila RC Simiyu @davidkafulila0 na kaka yangu Maggid Mjengwa @mjengwamaggid
Tulifanya mawasiliano na kituo chetu cha Njombe wakatueleza ni hali ya Makete. ila ni hali inayojitokeza mara kwa mara katika kipindi hiki cha baridi kali kwa maeneo hayo.TMA.
Happy Friday my dears. Sema tusisahau kesho ndo kesho #mezani tutaanza mapema sana kuzungumza na washua Master #mshuamasta na Mada yetu inauliza hivi.
JE MWANAUME ANAPASWA KUZINGATIA MAMBO GANI ILI KUTIMIZA MAJUKUMU YAKE NA KUJENGA USTAWI THABITI WA FAMILIA NA JAMII?