Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa kimetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa kisheria, ikiwemo kufungua shauri la Habeas Corpus mahakamani, kupinga hatua ya Jeshi la Polisi kuendelea kuwashikilia viongozi na wanachama wake kwa muda mrefu bila kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.
Hatua hiyo imetangazwa leo tarehe 14 Julai, 2026 kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Grace Shio. Katika taarifa hiyo, chama hicho kimeshutumu vikali ukamataji na ushikiliaji huo usio na ukomo, kikitaja kitendo hicho kama ukiukwaji mkubwa wa haki za msingi za binadamu na misingi ya utawala wa sheria nchini.
Taarifa hiyo imeweka wazi orodha ndefu ya viongozi na wanachama kutoka mikoa mbalimbali ya Kanda ya Nyasa ambao wamedai kuwa wapo mikononi mwa polisi kwa muda mrefu sasa.
Chadema imesema Mkoani Iringa, viongozi wanne wamekuwa mahabusu tangu tarehe 18 Februari, 2026 walipokwenda kuripoti Kituo cha Kati cha Polisi Iringa.
Waliotajwa ni pamoja na Ibrahim Myovera (Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Iringa) pamoja na wanachama watatu: Anthony Fyumagwa, Ally Kalolo, na Asajile Mwanjala.
Aidha, tarehe 6 Julai, 2026, polisi walimkamata pia James Sitta, ambaye ni Mwenyekiti wa CHASO Mkoa wa Iringa na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha RUCU.
Katika Wilaya ya Mufindi, mkoani humo humo, polisi waliwakamata wanachama wengine tarehe 29 Juni, 2026.
Hali kadhalika, taarifa hiyo imebainisha kuwa mkoani Mbeya, Jeshi la Polisi liliwakamata viongozi wanne wa mwanafunzi tarehe 4 Julai, 2026. Waliokamatwa ni Noah Mwalwange (Mwenyekiti wa CHASO Mkoa wa Mbeya), Gwamaka Mwakatumbula (Katibu wa CHASO Mkoa wa Mbeya), Agostino Wasinyo (Mwenyekiti wa CHASO Tawi la Chuo cha CUoM), na Rojas Mpwani (Mwanafunzi wa chuo cha CUoM).
Mkoani Njombe nako, Jeshi la Polisi linamshikilia mwanachama Agustino Chaula, mkazi wa Kata ya Mavanga, Wilaya ya Ludewa, tangu tarehe 1 Julai, 2026.
Akizungumza kwa niaba ya chama, Grace Shio amesisitiza kuwa CHADEMA inataka vijana wote walioshikiliwa waachiliwe huru mara moja na bila masharti yoyote.
"Iwapo kuna tuhuma zinazowakabili, Chama kinataka wafikishwe mahakamani na kutoendelea kuwachelewesha," ilieleza sehemu ya taarifa hiyo.
CHADEMA Kanda ya Nyasa imetoa wito kwa mamlaka husika kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kulinda utawala wa sheria, na kuzingatia haki za msingi za kila mwananchi bila kujali mwelekeo au itikadi zao za kisiasa.
VIDEO:
"Tundu Lissu aachiliwe bila masharti yoyote...sio adui wa nchi hii, Tundu Lissu sio adui wa Chama cha Mapinduzi kinachomponza ni akili yake, ana akili ambayo inaweza kusaidia maendeleo ya nchi hii"
Hayo ameyasema Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTZ2 ambaye pia aliwahi kuwa Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 14, 2026 mkoani Iringa.
Msigwa ambaye ni rafiki wa karibu wa Lissu anaeleza kuwa ni kiongozi imara ambaye ana misimamo na hayupo tayari kuomba msamaha kwa kosa ambalo hajafanya.
VIDEO:
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati Ashura Masoud leo, Jumanne Julai 14.2026 amezungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine amefafanua masuala mbalimbali yanayoendelea ndani ya chama hicho na kile kilichodaiwa kuwa uwepo wa SINTOFAHAMU inayomuhusisha Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara John Heche
ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA
UONGOZI UNAOACHA ALAMA
Uongozi wa awamu ya tano uliacha alama. LAKINI njia zilizotumika kuacha alama, pia njia hizo ziliacha alama.
Unatakiwa uongozi unaoacha alama bila kutumia njia zinazoacha alama.
Mwachieni tu. Anazo alama za utawala ulioacha alama. Nimjuavyo, atafanya makosa yatakayopunguza umaarufu wake. Kumshikilia kunampaisha na kuwashusha wanaomshililia.
Mantiki ni hesabu hata kama si kila hesabu ni mantiki.
Kwa nia njema na uzalendo kwa taifa langu.
Mjaluo anasema, “Mwanamke anayemwomba Mungu ili apate mtoto, huwa halali akiwa amevaa jeans”.
#TheInterview | Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA Taifa, Brenda Rupia Jonas, amezungumzia mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, akisema wanaotoa tuhuma hadi sasa hawajawasilisha ushahidi wa kuthibitisha madai yao.
#TheInterview | #EastAfricaRadio | #SupaBreakfast
Hii video imeniliza sana.😭
Mhe. Lissu kapitia magumu na maumivu makali sana ya majeraha ya risasi, mwili wake umechakazwa kwa risasi ambazo alipigwa kwa amri ya Magufuli.
Sasa hivi anasota jela kwa zaidi ya mwaka mmoja kwasababu Nduli Idd Amin Mama kambambika kesi ya uhaini.
Unaweza kutazama full Documentary ya @BBCAfrica kwenye hii link hapa 👇
https://t.co/miVk22evmV
VIDEO:
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CUF (Tanzania Bara), Othman Omar Dunga, amesema msimamo wao ni kuona uchaguzi mkuu wa chama unafanyika kwa kuzingatia katiba ya chama ili wanachama wachague viongozi wanaowataka.
Watanzania tuwe makini na watu wanaovamia movement then mnawapa attention then baadae wanawasaliti na kuwa demoralize kwenye kudai.
Tuache kutoa kiki kwa watu ambao tunajua hawana historia yoyote ya uanaharakati zaidi ya kutafuta attention kwenye social media. Msikubali kutumika na washenzi kukuza majina yao then wanawageuka. Hili kosa mmeshafanya mara nyingi. Lisirudiwe tena.
🇪🇺 Bunge la Ulaya lapinga mpango wa kutoa msaada wa Euro milioni 156 (takribani TZS bilioni 484) kwa Tanzania mwaka 2026.
“Who are you” wanaendelea kujitambulisha wao ni wakina nani.
Mwaga moto mwingi wanangu kama madragon.🔥🔥🔥
REPOST 200
Kusema ule ukweli @SuluhuSamia nakuambia ni HERI UMIACHIE TUNDU LISSU KABLA YA TAR 7/7
YANI TUNAKUJA KAMA MANINJA
Wewe na mapolice zako wafiraji hatuwaogopi kamwe , kama hamuamini subirini hiyo tar 7/7 mtatuelewa
Wao wamejazana IKULU hawalioni hilo.
Hii miwatu iliokosa VISOGO mibinafsi sana aisee.
Hakuna kitu Nyerere alitukosea kama kutuunganisha na hawa WASENGE.
Hapo linawaza kupekechwa tuu, kufanya kazi ahhhh...!
🔥7/7 imechangamka
Maandamano 7/7 loading
Gen Z wamesema wamechoka na wanaungwa mkono na Gen zote
Mi naendelea kushauri mkianza kamatakamata na vitisho - you will make things worse @SuluhuSamia@ccm_tanzania
Wapeni wananchi wanachodai 👇🏾
#SamiaMustGo#FreeTunduLissu #UchaguziHuru #KatibaMpya
These are non-negotiable kwa watanzania kwa sasa
Matusi na vitisho haiwasaidii!