#WINNER OF BEST AUTHOR#FORMER PRESIDENT (HRA SJUT)#FORMER CHAIPERSON KILIMANJARO ARUSHA MANYARA STDNT ASCTION (KAMSA)#FORMERDEPUTY MINISTER (SJUT)#Bsc Ed (SJUT)
Namshukuru Mungu kwaajili ya hili nalishkuru baraza pia kwa kuniamini na kunipa nafasi naahidi kutumika kwa misingi ya chama na kwa weledi mkubwa asanteni sana 🙏.
@uvccm_tz@ccmtanzania
@comrade_kawaida
@rehema_sombi
@amir_k_said
@uvccmkatavi_tz
@mwakitinya11j
@zegmvirus@BigOO47 Bajaj 9M kwa mwezi maximum ukimpa mtu ni kama 600k hapo hujatoa Hela ya service ukiendesha mwenyewe TU assume unafunga 80k/day ×30+ miezi hyo 6 una 14M ila ndo ujitoe sasa na uwe na NIDHAM
Nitumie huu muda kuwashukuru wote mliofanya kazi nasi, mlioshare kwa wahitaji wa vitabu, mmerepost, mlionitaja huko nje vitabu vilipohitajika, niwashukuru bodaboda( bolt), wasafirishaji wa mikoani narudia tena nishukuru jumuiya hii ya X) kwa kuwa wateja wangu bora 2025.
Watu wengi maarufu duniani walikiri kwamba kusoma vitabu kuliwasaidia kufanikiwa katika maisha yao.
Hapa kuna (baadhi) ya watu mashuhuri waliopata msukumo, maarifa, na ujuzi kutoka vitabuni.
Billgate
Vitabu vilivyomsaidia ni hivi