Leo Mei 19, 2025 Ndugu Philipo Mallac amekabidhiwa fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Nsimbo kwa tiketi ya @ACTwazalendo. Fomu hiyo amekabidhiwa na Kaimu Katibu wa Jimbo la Nsimbo, Ndugu Erasto Samweli.
#MuhuniHasusiwi#OperesheniLindaDemokrasia

MKUTANO MKUU TAIFA KWA HISANI YA WANACHAMA NA WADAU WA DEMOKRASIA
Chama cha @ACTwazalendo kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum Mwezi Julai kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu 2025.
Tunaomba michango yenu kufanikisha mkutano huo. Namba za kuchangia ziko katika bango.

"Ripoti ya CAG kwa mwaka wa fedha 2023/24, imebainisha hoja za ubadhirifu unaotokana na upotevu fedha, ufisadi na ukiukwaji wa sheria za manunuzi zenye thamani ya shilingi trilioni 2.56"
Waziri Mkuu Kivuli
@MchinjitaIR#TaifaLaWote#MaslahiYaWote@ACTwazalendo@ACTBarazaKivuli

Leo Mei 11, 2025 Mwanachama wa @ACTwazalendo,
Ndugu Sanane Selena Shenye amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Bariadi liliko Mkoa wa Simiyu. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Jimbo, Ndugu Simoni John.
#TaifaLaWote#MaslahiYaWote#MuhuniHasusiwi
"Kama mataifa ya Ethiopia kupitia Ethiopian Airlines au China kupitia Huawei wameweza kuyaendesha mashirika yao ya umma kwa mafanikio na weledi, Tanzania pia inaweza. Kinachotakiwa ni uongozi makini,na si CCM iliyofilisika kisera na kifikra.”
Waziri Kivuli wa Fedha
@kizamayeye_
Leo Mei 11, 2025 Mwanachama wa @ACTwazalendo,
Ndugu Sanane Selena Shenye amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Bariadi liliko Mkoa wa Simiyu. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Jimbo, Ndugu Simoni John.
#TaifaLaWote#MaslahiYaWote#MuhuniHasusiwi
"Mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia utungaji wa kanuni, uandikishaji wapigakura, uteuzi wagombea, upigaji kura na utoaji matokeo uliharibiwa na mamlaka ya kusimamia uchaguzi (TAMISEMI) ikisaidiwa na vyombo vya dola." @SemuDorothy Kiongozi wa Chama @ACTwazalendo
Wanachama wa @ACTwazalendo nchi nzima, licha ya matukio ya kuharibu uchaguzi haswa kutumia kura bandia, kuondoa mawakala wetu vituoni na kukamata wagombea wetu. MSIKATE TAMAA kazeni kazeni kazeni mpaka mwisho. Tuwafikishe mwisho hawa
Tulifanikiwa kuikuta gari ya CCM Iliyohusika na utekaji. Ilitukimbia tukaifukuza huku tukiwasiliana na ocd lindi na kumuelekeza uelekeo wa gari ya Wateji. Polisi hawakufanya jitihada yeyote. Gari yao ilikuwa speed kuliko yetu tukaagiza wenzetu wengine walio mjini waje kublock. Wenzetu walikuja ikuta iko garage ya Kawa ikiungana na gari nyingine ya CCM. Tukampigia OCD na dakika chache baada ya simu hiyo gari zote zikaondoka kuelekea ofisi ya CCM. OCD Alituambia ameagiza gari mbili zifike na zilifika ofisi ya CCM. Tulipofika gari za polisi zote mbili zikatukimbia . Tuliamua kumfuata OCD akatuhakikishia tu kuwaatapatikana lakini akakiri polisi wake hawana ujasiri wa kwenda kuikamata na kuikagua gari ya CCM. Usiku huu saa 2:30 ameachiwa Amina akiwa hapa lindi mjini. Ni wazi kuwa polisi walijua utekaji huu
UPDATE FROM - MCHINGA LINDI
UTEKAJI
Mwenyekiti wetu wa wanawake jimbo la Mchinga bi Amina Makalani ametekwa n a gari landcruser T133GEE akiwa kwenye harakati za kufuatilia mwenendo wa Uchaguzi . Watu hao wasiojulikana walipata pancha njiani mtaa wa Narunyu ambapo imebainika kuwa ni watu wa CCM. OCD lindi amekanusha kuwa polisi hawajafanya ukamataji huo. Tunafuatilia