Homeboy anamuuguza mama yake, hakuna ndugu wala majirani wa kumsaidia.
Alizaliwa peke yake kwao hakuna hata mtoto wa kike na homeboy hana hata mke wa kumsaidia.
Mama hali mbaya ni wa kubeba kutoa nje na kurudisha ndani na kujisaidia hapo hapo kila kitu!!
Naam, homeboy anafumba macho anaangalia pembeni huku anamuogesha mama yakeโฆ..
Yes you heard me right anamuogesha mama yake, inamuumiza lakini ndio mitihani ya dunia!!
Homeboy anambadilisha mama yake pampas, kama ambavyo mama alimbadilisha yeye akiwa kichanga!!
#LIFE ๐คฒ