Mithali 29
1 Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa.
2 Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.
3 Apendaye hekima humfurahisha babaye; Bali ashikamanaye na makahaba hutapanya mali.
Mungu ni wetu sote 🙏
Plan ilikua simple sana ,unasoma unamaliza hadi chuo ,unapata kazi nzuri 😄unanunua gari ,nyumba na unapata mwanaume mwema anakuoa unazaa watoto wazuri 😂unakua na familia yenye furaha na amani ukiwa na miaka 25 ,then booooom nina miaka 35 na sijui mimi ni nani bado 💔😭
Ayeeeee 🥹🎉 Happy 2nd Birthday Ryan wangu☺️❤️
Two years ago, you came into my life and gave it a whole new meaning. Watching you grow has been the greatest blessing and my biggest joy, your laughter lights up my darkest days, your hugs heal my heart, and your smile reminds me every day how beautiful life truly is❤️
Mama loves you more than words could ever describe, and I always will. I pray that Allah continues to protect you, guide your steps, bless you with good health, wisdom, happiness, and a future brighter than anything I could ever imagine.
Keep shining, my little prince, You'll always be my greatest gift
Happy Birthday, my sweet Ryan. 🤍🎂🎈🎁✨
Jana my young brother kaniletea 500k cash akisema Mwanzo Wa Mwezi nisikae kinyonge🤦hii kauli nilikuaga nakwambiaga Mimi Kila Mwanzo Wa Mwezi nilikuaga nampa 40k for 9 years watu wakasema namlemaza brah brah nikamlea nitakavyo sikupendaga ateseke now I'm proud of him🙏