@iamcleopatricia πππ hiyo imenifanya dem wangu awe mwoga kunipikia cos lazima nimkosoe, siku moja nikaamua kuandaa mboga akiwa anaona ili ajifunze lakini wapi π π
@iamcleopatricia Huo ndio mwisho wa safari yetu,utukutu,kutojali,majivuno kutokana na mafanikio aliyokupa Mungu na vurugu zote zinaishia hapo, kila anaye soma hii comment ajihoji moyoni sababu ya yeye kuendelea kuwa hai.
@JulianaMbowe Kwamba unapigwa na risasi yenye kitimoto hata ukipona kwenye mzunguko wa damu utakuwa na ukitimotomoto afu unatakiwa uingie maskidiπππ
@iamcleopatricia Wanao waza kudate ni majobless but gent ambaye yuko serious na maisha hawezi kuvumilia upuuzi wa madem so akifeel ananunua anapiga then anaendelea na focus zake till akimua kutengeneza familia ndo anatafuta mdada wa kawaida tu