Mwenyekti wa ATE ameongeza kuwa Miradi ya maendeleo kama SGR, Mradi wa umeme wa Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere na Maboresho ya shirika la Ndege Tanzania (ATCL) pamoja na miradi mingine mingi imesaidia kwa sehemu kubwa kuongeza fursa za ajira nchini.
#ATETanzania#MeiMosi2025
Maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi kitaifa 2025, yamesindikizwa na kauli mbiiu: "Uchaguzi Mkuu 2025, Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki.”
#ATETanzania | #MeiMosi2025
Mhe. Rais pia amewataka waajiri kuendelea kushiriki katika agenda ya kuhimiza matumizi ya Nishati Safi katika kukabiliana na mabadiliko na athari zinazotokana na mabadiliko ya tabianchi. Ametoa maagizo kwa ATE kuendelea kujenga uelewa kwa waajiri.
#ATETanzania | #MeiMosi2025
Mkurugenzi wa @ilodaressalaam, kwa Nchi za Afrika ya Mashariki, Bi. Caroline Mugallah, amesema kuwa kwa kushirikiana na serikali, waajiri na vyama vya wafanyakazi walifanikisha kutoa uwezeshaji kwa wanawake na vijana kiuchumi kwa kushirikiana Benki ya NMB na CRDB.
#ATETanzani
Mheshimiwa Rais, ameelekeza Bodi ya kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi kujadiliana na kuona namna ya kuongeza kima cha chini kwa wafanyakazi wa sekta binafsi pia.
#ATETanzania | #MeiMosi2025
Mgeni Rasmi wa Mei Mosi alikuwa Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika hotuba yake pamoja na mambo mengine ametangaza kuongeza mshahara kwa asilimia 35.1 kwa watumishi wa umma.
#ATETanzania | #MeiMosi2025
Rais Mteule wa Marekani Donald Trump amefanya uteuzi wa kwanza wa Wasaidizi wake wakati anajiandaa kuchukua madaraka rasmi mwezi January mwakani 2025 baada ya kushinda uchaguzi uliofanyika November 05,2024.
Trump amemteua Meneja wake wa kampeni Susie Wiles kuwa Mkuu wa Utumishi wa Ikulu ya White House/ Mtendaji Mkuu wa Ikulu, wadhifa wenye jukumu la kusimamia shughuli za kila siku za ofisi ya Rais na Watumishi wake ambapo Susie anakuwa Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo Nchini humo.
Susie atakuwa na jukumu pia la kuwaajiri Wafanyakazi wa Rais na kuwaongoza Watumishi kupitia Ofisi ya Rais na kusimamia shughuli zote za kila siku za Wafanyakazi, pia atakuwa Mshauri wa Rais Trump kuhusu masuala ya sera na ataongoza na kusimamia maendeleo ya sera.
Kwenye taarifa yake, Trump amesema Susie amemsadia kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi uliomalizika na alikuwa na mchango mkubwa kwenye kampeni zake za mwaka 2016 na 2020, Trump amemwelezea Susie kuwa Kiongozi madhubuti mwenye maarifa na Mbunifu.
#MillardAyoUPDATES
Unlocking potential through skills! At the TVET Conference, we're exploring pathways to make Tanzanian youth more employable, equipped, and ready to drive the future.
#TVETConference | #ATETanzania
Napenda kuhakikisha kuwa ushirikiano huu wa ATE Clouds Media utakuwa wakudumu na wenye tija ili kufikia watu wengi na kudhihirisha kauli mbiu ya “Above and Beyond” ~ Sebastian Maganga.
#CSW2024 | #ATETanzania
Napenda kuwashukuru ATE na wadau wengine katika kuhakikisha kaulimbiu ya "Above and Beyond” kwa pamoja tumeweza kufanikisha. Hata kama utoe huduma bora kiasi gani kama mazingira yako sio safi basi hauwezi kuwa na tija. ~ Sebastian Maganga Mkuu wa Maudhui Clouds Media
#CSW2024 | #ATETanzania
Unaweza ukaja na wazo lakini usiwe na uhakika wa mapokeo, wakati tunafikiria namna ya kuhadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, tulipata changamoto nini cha kufanya zaidi kama kaulimbiu ilivyokuwa inataka "Above and Beyond". ~ Adv. Suzanne Ndomba-Doran
#CSW2024 | #ATETanzania
Huduma kwa wateja ni zaidi ya ofisini, kujali mazingira yetu pia. ATE Tunamaliza Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 kwa usafi na upandaji miti kutoka Mwenge hadi Mikocheni. Zoezi hili limejuisha wadau GSM, Coca-Cola, DHL, Clouds Media, SGA Security na KFC.
#CSW2024 | #ATETanzania
Napenda kuwashukuru waajiri wengine tulioshirikiana nao na Serikali ya mtaa kwa kushirikiana na sisi kwenye zoezi la kufanya usafi kwa ustawi wa mazingira safi na salama. Utunzaji wa mazingira liambatane na utashi wetu. ~ Adv. Suzanne Ndomba-Doran
#CSW2024 | #ATETanzania
Utoaji wa huduma na ufanyaji biashara lazima uende sambamba na mazingira yaliyo safi na salama kwa wafanyakazi, wateja na wadau wegine wanao zunguka maeneo yako. ~ Adv Suzanne Ndomba-Doran.
#CSW2024 | #ATETanzania
Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) Leo Ijumaa kitahitimisha rasmi Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni ‘Above and Beyond' au Huduma Zaidi.
Wiki ya huduma kwa wateja inahitimishwa kwa waajiri wote waliopo barabara ya Coca-Cola kujitokeza na kuunga mkono ufanyaji wa usafi wa mazingira.
Zoezi hili la kusafisha mazingira limeanza saa moja kamili asubuhi hii kuanzia taa za Barabarani za Mwenge mpaka Ofisi za Clouds Mikocheni.
#CSW2024
@ATE_Tanzania
#MalkiaWanguvu Bi. Suzanne Ndomba-Doran, Afisa Mtendaji Mkuu, Chama cha Waajiri Tanzania (@ATE_Tanzania ) akiwa na Mkuu wa Maudhui #CloudsMedia@sebamaganga pamoja na wawakilishi kutoka @CocaCola wameshiriki katika zoezi la kupanda miti ikiwa ni sehemu ya kuelekea kwenye kilele cha Wiki ya Huduma kwa Wateja (
#CSW2024).
THIS WEEK,
The @ilo PPDP Project in Kenya hosted our donors from @Sida @swedenkenya in Kajiado and Narok Counties. The team together with ILO technical specialists an PPDP implementing partners @ForumCiv engaged the county governments on the new Phase 2 of the PPDP project.
Happening now is the Environmental Social & Governance (ESG) Membership Meeting at Johari Rotana Hotel. This meeting has brought together industry leaders,
experts and enthusiasts to discuss the latest trends, challenges, and opportunities in the ESG Landscape.
#ESG#ATETanzania