Kocha Mkuu wa #SimbaSC Zoran Maki leo ametambulishwa rasmi mbele ya waandishi wa habari, ambapo pamoja na mambo mengine, amesema ana kazi kubwa ya kufanya kutokana na #SimbaSC kupata mafanikio makubwa kwenye michuano ya kimataifa barani Afrika.
#AzamSports#SisiNiSoka#AzamTV
Eti ni kweli msemo unaosema kwamba kipaji cha mtu hakifi?
Weka comment yako hapa mapema kisha tukutane kwenye #5Selekt leo kuanzia saa 11:00 Jioni, #EastAfricaTV#EastAfricaTV#5Selekt
"Timu yetu itaondoka tarehe 14 mwezi huu kwenda kwenye mji wa Ismailia nchini Misri na itarudi Agosti 5. Tutaondoka na wachezaji wote isipokuwa wale ambao watakuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa. Tukirejea itakuwa ni Simba Day."- Ahmed Ally.
"Timu yetu itaondoka tarehe 14 mwezi huu kwenda kwenye mji wa Ismailia nchini Misri na itarudi Agosti 5. Tutaondoka na wachezaji wote isipokuwa wale ambao watakuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa. Tukirejea itakuwa ni Simba Day."- Ahmed Ally.
"Kocha Zoran Maki tumeingia nae mkataba wa mwaka mmoja lakini tunaweza kuongeza mkataba kama akifikia malengo. Tunataka kurudisha ubingwa wetu wa Ligi Kuu na ASFC lakini pia Ngao ya Hisani. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika tunataka kufika nusu fainali."- Ahmed Ally.
"Kocha Zoran Maki tumeingia nae mkataba wa mwaka mmoja lakini tunaweza kuongeza mkataba kama akifikia malengo. Tunataka kurudisha ubingwa wetu wa Ligi Kuu na ASFC lakini pia Ngao ya Hisani. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika tunataka kufika nusu fainali."- @ahmed__ally
"Nipo hapa kuifanya Simba kuwa bora zaidi ya msimu uliopita. Mwaka huu ilimaliza nafasi ya pili, msimu ujao kuwa ya kwanza, msimu uliopita ilikuwa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika na mwaka huu kufanya vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika."- Kocha Simba Zoran Maki.
🗣 “Nipo hapa kuifanya Simba kuwa bora zaidi ya msimu uliopita. Mwaka huu ilimaliza nafasi ya pili, msimu ujao kuwa ya kwanza, msimu uliopita ilikuwa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika na mwaka huu kufanya vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.”
- Kocha Zoran Maki.
"Timu yetu itaondoka tarehe 14 mwezi huu kwenda kwenye mji wa Ismailia nchini Misri na itarudi Agosti 5. Tukirejea itakuwa ni Simba Day. Usajili kesho tutaendelea kwa kushusha mchezaji mkubwa. Huu sio usajili wa Afrika bali wa dunia itasimama."- Ahmed Ally.
#MICHEZO Klabu ya @SimbaSCTanzania inatarajiwa kuweka kambi ya wiki 4 kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23 katika mji wa Ismailia nchini Misri huku kikosi hicho kikitarajiwa kuondoka nchini mnamo Julai 14 na kurejea nchini mnamo Agosti 5,2022.
#EastAfricaRadio
"Kocha Zoran Maki tumeingia nae mkataba wa mwaka mmoja lakini tunaweza kuongeza mkataba kama akifikia malengo. Tunataka kurudisha ubingwa wetu wa Ligi Kuu na ASFC lakini pia Ngao ya Hisani. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika tunataka kufika nusu fainali."- @ahmed__ally#NguvuMoja
"Timu yetu itaondoka tarehe 14 mwezi huu kwenda kwenye mji wa Ismailia nchini Misri na itarudi Agosti 5. Tutaondoka na wachezaji wote isipokuwa wale ambao watakuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa. Tukirejea itakuwa ni Simba Day."- @ahmed__ally#NguvuMoja