@thedoctor2045@SSostenes14538@LeoSports27@ClemencePo85101@Sativa255 Unachokiongelea sio kazi wala majukumu ya waziri.
Waziri ni ceremonial & much of political figure.
Katibu wa wizara ndio responsible kwa mambo yote ya kitaaluma na ndio hapo serikali haifanyagi mzaha ukakuta mwanasiasa ni PS
@wode_maya X isn't banned, few things are sorted for a better Tanzania..
Mind your damn business and stop messing with our Beautiful country Tanzania and our Beloved president Mama @SuluhuSamia
@MariaSTsehai@HecheJohn Huu ni upotoshaji unaendelea kugharimu maisha ya watu. Unataka kuwaaminisha watu na hasa vijana kwamba kuvamia mgodi ni jambo la kawaida na ni haki yao? Lengo lako ni nini? Uonekane kama unawatetea huku unawastab kwa kutowaeleza ukweli? Kinachofanyika ni uvunjivu wa sheria...
@TaifaDaily Manufaa yanayotokana uwepo wa mgodi ni makubwa tena kwa taifa zima kuliko hao vibaka wachache ambao unawatetea. Tena tuna taarifa zako kwamba wewe ni kibaraka wa wazungu wasioitakia nchi yetu mema. Raisi wetu anahangaika kila kona kuvutia wawekezaji.
@HecheJohn Mgodi una manufaa makubwa tena kwa taifa zima kuliko hao vibaka wachache ambao unawatetea. Tena tuna taarifa zako kwamba wewe ni kibaraka wa wazungu wasioitakia nchi yetu mema. Rais wetu anahangaika kila kona kuvutia wawekezaji.
@HecheJohn Huu ni upotoshaji unaendelea kugarimu maisha ya watu. Unataka kuwaaminisha watu na hasa vijana kwamba kuvamia mgodi ni jambo la kawaida na ni haki yao? Lengo lako ni nini? Uonekane kama mtetez huku huwaelezi ukweli? Kinachofanyika ni uvunjivu wa sheria na wewe ni mchochezi.
@sajumahege@SeviourSon@IAMartin_ Muislam hata kama hufanyi ibada utafanyiwa mambo matatu ya lazima
..
Utaoshwa, utaswaliwa na utazikwa Kwa taratibu za kiislam.
Waislam hukumu anatoa Mungu si binadam..