What a great moment today at #OYW2019 to meet and share about our works with @TheElders Gro Harlem Brundtland and Mary Robinson during the #SparksOfHope mentoring session. It's a motivation for us to keep going when our works get recognized and uplifted. Many thanks
What’s Next? The Future with @BillGates on @netflix. We live in an era where fighting misinformation can sometimes make it worse, people dig in harder when challenged. This doc takes a smarter approach: lead with curiosity, not correction. #AI#Energy#Health. A must watch 🎬
Kaka @MarekaMalili matumizi tungeanzia huku. Nchi imelipa pesa nyingi kuhost AFCON, lazima tuwe na mikakati ya kurudisha pesa yetu na faida juu. Mojawapo ni hiyo budget inayowakirishwa leo na nani ajui influence ya Drogba kwa wadau barani Africa na kwingineko. Hapa nabaki Neutral
@millardayo Kwasababu viongozi wanatakiwa kushawishi wadau barani Africa na kuiongoza nchi kuelekea AFCON hiki ni jambo la kawaida na probably ni A+ hamasa. Uwa napenda sana kuwa neutral. Nani ajui michezo ni hamasa. Why don’t we concentrate na issue za msingi lather than talking people 🤷♂️
@millardayo Hivi tunasahau kwamba Tanzania ni host wa AFCON? Lets concentrates na mengine zaidi kama kupinga uvunjifu wa haki etc lakini kuna issue nyingine kama hizi ni kawaida sana na yanafanyika kwingine nchi nyingi tu tofauti yetu ni kwamba hapa ni mara ya kwanza kuhost AFCON.
@MarekaMalili uliona kama aliwezekani hili. Uzalishaji wa mafuta ghafi umepungua kwa wastani wa mapipa milioni 14.5 kwa siku, au 57%, kutoka viwango kabla ya vita na endapo Mlango wa Hormuz utafunguliwa, ahueni kamili inaweza kuchukua muda mrefu zaidi kuliko soko linavyotarajia.
@MarekaMalili uliona kama aliwezekani hili. Uzalishaji wa mafuta ghafi umepungua kwa wastani wa mapipa milioni 14.5 kwa siku, au 57%, kutoka viwango kabla ya vita na endapo Mlango wa Hormuz utafunguliwa, ahueni kamili inaweza kuchukua muda mrefu zaidi kuliko soko linavyotarajia.
Tutunze mradi wetu wa bomba la mafuta kati ya Uganda & Tanzania. Ni Strait of Hormuz ya kesho. Tena ikiwezekana muanze bargaining ya kujenga Refinery ya kuyachakata na mfaransa pale Tanga 🤓
Tutunze mradi wetu wa bomba la mafuta kati ya Uganda & Tanzania. Ni Strait of Hormuz ya kesho. Tena ikiwezekana muanze bargaining ya kujenga Refinery ya kuyachakata na mfaransa pale Tanga 🤓
If you think what’s happening right now in the world feels new — it isn’t.
Read ‘Economic War’ by @MaxHess_ and you’ll realise this playbook has been running since 2014. The most clarifying book you’ll pick up this year. 📖
#EconomicWar#Geopolitics#TradeWar
Binadamu sisi ni viumbe wa ajabu. Tunajenga alafu tunabomoa. Tunashindana utadhani kuna atakae ishi milele kwenye hii dunia. Mungu anipe moyo wa kuridhika 🙏
This photo now carries a deep ache. On Monday, we lost David Legge — a mentor and guiding light to so many of us in @PHMglobal. I’m grateful for his wisdom and kindness. My prayers are with his family. Rest in peace David
Tributes for David Legge: it is with great sadness that we announce the passing of our beloved David Legge.
We honor David's life, his struggle for health for all, and his commitment to PHM the movement to which he devoted his efforts and love. https://t.co/D1qeqMpBqx