Salaale! @swifttech0 wants 4000Retweets only, Fellow peasants and Non peasants,
Finyeni hiyo button,dakika niya lala salama
@swifttech0 anzeni kufunga hiyo machine🤣
Mungu baba uliye mkomboa Yohana alipomezwa na samaki,Leo sijakuja kukuomba kitu,nimekuja kurudisha shukrani,Evemaina umemguza roho mungu mwenyezi naona dalili ya kupenya Taptengelei,Wale vienyeji waliokua wametumwa kunimaliza umewaondoa kwa njia yehovah shamah,Bariki wengine sasa