Serro performing Presha, the collabo she did with Mutoriah.
When she said:
“Tutachelewa
Lakini ndoto zetu hatutachorea”
Karibu nimwambie niachie niimbe 🫠
This has to be my most listened-to song this year.
Serro gave us her all🥹.Ulikuwa unageukia neighbour unamhug ni kama mnajuana kwa grief set.After hapo mapenzi ikafika and all we did ni kubanjuka Tu.🥹Btw if you were the guy in blue shirt with spects Mwenye alidance na Mimi time ya Ilomba hapo nyuma please hit my DM🥹🤗
Album ya Serro huwa naweka ikifika hiyo part ya when she is in the dark(A mourners cry na Ero warni) namwaga machozi proper.Alafu ikienda the next song I start smiling polepole tukimove from the darkness to light na yeye Hadi we fall in love pamoja (Ilomba) 😭❤️I love @Serro___
You will tell God that you're lost, that you don't know how to navigate this grief. You will want to place your heart in His hands because the heaviness in your chest will be overwhelming. Serro will beg for water because you will listen to her every day. And she will save you.