@iamcleopatricia@heisbixen Kuna wakati mwingine huiba kwa sababu ya njaa ni vyema ukamuuliza Wenda yatima wenda hana mtu wa kumsaidia ndio kakosea ila wengine huiba kwa sababu wapate kula pole my ila jalibu kukaa nae chini
@Jerry_Adam324 Hizo milion 43 na 33 mtoto akimaliza anapewa ajila apo apo au inatakiwa nimuendeleze tena kusoma kwako kawawa please majibu @jerry Adam324 tafadhali