Your character will determine how high you go. Your character is more important than your competence. What you do in private, when no one is watching, will determine how high God takes you.
@RamadhaanMathey Changamoto hujanipa. ILA naheshimu msimamo wako,kama nilivyosema kila mtu ana haki ya kusema chake. Na mimi huo ndiyo msimamo wangu...nje ya hapo..ahsante kwa maoni yako..ni haki yako..ila dada yako hapa hiyo ndiyo view yangu,wala sikulazimishi,wala si kwa nia mbaya. 🤗
@RamadhaanMathey Sasa raha ya twitter si unafollow na kupata followers...ama? 🤔..ahsante sana Rama..najua hii ni twitter tu mdogo wangu..siyo maisha...na opinions ni opinions..kila mtu ana uhuru wa kusema chake.
@RamadhaanMathey Weeeee ni kundi muhimu sana kwangu..wala sijakutusi..au neno Shosti ndiyo issue? Kwa mtoto wa kike ni neno zuri..likimaanisha..rafiki wa karibu zaidi ya..
@RamadhaanMathey Na pole sana..aliyekutenda na kukufanya uwe hivi Mwenyezi Mungu amsaheme na amuepushe na Jehanam. Najua tabia hizi hazitokei tu..pole mdogo wangu. Upo kwenye maombi yangu.
@RamadhaanMathey Alafu bado unaongea kiuwingi...mimi ni mtu mmoja tu..narudia tena siyo msemaji wa wasanii..acha kuwahusisha..ni mtazamo na tweet yangu..address me..Rama.
Leo Tanzania Music Awards make it's return..kwa historia yake wengi waliostahili walichuniwa..ushindi ulikuwa wa kupangwa na kulazimishwa. Mwezi Mtukufu huu jamani..yakijirudia yaleyale itasema mengi sana.