@Ntobi_ Kwa hiyo wakili wa serikali anataka @ExMayorUbungo asipewe dhamana lakini aendelee kukaa mikononi mwa watu ambao anahisi ndo wanamuhatarishia huo usalama...? Tuendelee kula mtori nyama zipo chini
@hamzaalbhanj Kaka hata usafini pale Kuna kipindi changu kinaishi hadi leo Sema nimepata mishe nyingine inayoni keep busy hata siwazi ila nilibugi kuwaachia tittle za vipind vyangu na description