Kati ya watu Hawa Nani ana nafuu katika jamii mwehu ,mpumbafu, mjinga, mvuta bangi, mrevi, dhurumati,tapeli, mwizi, mvivu, fisadi, muongo, fisadi, na kwa sasa nchi inaongozwa na kundi gani like Kama wewe NI mzalendo
Manisha ni fumbo wahuni was nchi hii hawafi kabisa Ila wanao itetea nchi na sisi wanyonge hawana Manisha marefu baba jpm huku wamehonga gesi ushauri toka msoga
muda was watanzania maskini kulilia kwenye Moshi was piripiri kichaa umefika maana tumeanza kuhonga vya kwetu ili wachache wale Manisha huu NI upumbavu kutoka msoga