@Kiddy871 Sio miaka ya 90 hii kwamba watafanya jambo isijulikane. Lini wameleta hao wakaguzi? Very simple. Au source yako haijui hilo😂. Tungejua kama wamekuja bhana. Recently hawajaja. Wametoa maamuzi regarding ukaguzi wa lini?
@privaldinho Sawa ni maskini unapambania ugali wako ila sio kwa kuona wenzako wafanyalo sio sawa. Mpaka ujidhalilishe mitandaoni ndio ulipwe. Upoke matusi kibao ndio ulipwe. Mchaga bogus namba moja Tanzania ni wewe. Wachaga hawalambi watu miguu ili walipwe wanatafuta pesa kwa jasho. Shame🚮
@CAFCLCC Taking the Final to Amaan Zanzibar can not accomodate enought spectators for the game. You really plan to place Berkane in a small grounded pitch like theirs. No Fairness from you @CAFCLCC to the Tanzanian Teams. First Young Africans Goal now Simba. You are shit🚮
@1960Remija Penalty za game ya Dabi zilitolewa? Goli la mkono la Bacca? Krosi ya nje ya uwanja iliyozaa goli pekee la mechi? Mmezoea dezo msipoipata mnalalamika. Hamna hata aibu.