Jioni ya leo tulijumuika pamoja kufturu pamoja.Hafla hii imeudhuriwa na wateja, wafanyakazi wa BancABC pamoja na viongozi mbalimbali akiwemo Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mh. Mussa Azzan Zungu. #RamadhanKareem
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu ameipongeza BancABC Tanzania kwa kuunga mkono mikakati ya Serikali ya kuongeza tija katika sekta ya huduma za fedha na kupanua huduma za kibenki kuwafikia watanzania wengi ambao hawajafikiwa na huduma za kibenki.
Shukrani kwa Wachezaji, Viongozi na Mashabiki wote tulionza Pamoja Mwanzo wa Mashindano Mpaka Mwisho wa Mashindano.
MUNGU NI MWEMA Tutarudi Tukiwa na Nguvu zaidi🔴⚪✊🏽.
We Are Simba #NguvuMoja
Retweet kama UPENDO KWA SIMBA ✊🏽
No need to put blames on anyone but the problem is when you failed to score more than one goal against Pirates in Dar es Salam.
Pirates are very good when playing at home.
#totalenergiescafcc#nguvumoja
Hard luck Simba. You can go out with your heads held high, especially as the only East African team to make it to the KO stages of CAF competitions this season.
You made what seemed impossible nearly possible & no one can doubt your effort, spirit & sweat. Thank you! ✊🏿🦁🇹🇿
Simba SC imetolewa katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na Orlando Pirates ya Afrika Kusini.
Agg: Simba SC 1-1 Orlando Pirates (3-4P)
#CAFCC
You just need two or three experience players in the team and you’ll be good to go in Africa next season. You have a fantastic squad.
Keep your heads up. 🦁✊🏽
#TotalEnergiesCAFCC#NguvuMoja
Nadhani kocha wa Orlando anapaswa kuwa na heshima kwa Simba SC. Kwa namna alivyowacharukia Simba SC nilidhani alikuwa anajiamini kuwa Simba ni vibonde leo angejipigia nyingi
Mtihani aliopewa leo nyumbani kwake na Simba anapaswa ajue Simba ni timu kubwa