Maisha si safari ya walio bora pekee, bali ni ya wale wanaokataa kukata tamaa. Leo unaweza kuwa chini, lakini kesho ukawa juu kama utaamua kupambana. Usikubali maneno ya watu yakupunguzie thamani yako. Kila changamoto ni daraja la kukupeleka hatua nyingine. Jiamini, jitume,
If you could only see how bright your future is, you would start praising God and glorifying His name right now. It is bigger than you could have imagined!โฆ