MAMBO MAWILI⬇️
1. Kama mtawala wa Tanzania anadhani kuteka na kuua wale wanaomkosoa kutawafanya watanzania waendelee kuvumilia ukandamizaji wa dola, she is very wrong.
2. Warning: Wale mnaoendelea kutetea ushenzi wa dola na kushangilia ukatili as if ni mechi ya Simba na Yanga, nawahakikishia kuwa kuna siku watanzania wataanza na nyie huku mtaani wakati wanaelekea kumwajibisha huyo mnayemtetea.
Hate begets hate, brutality begets brutality. Siku watanzania wataamua kujihami, mtatamani mngefanya tofauti.
Endeleeni kushangilia ukatili na ushenzi wa dola, ni suala la muda tu!!