@1960Remija Tunamashabiki wa kugombana kwa Simba na Yanga
Utani wa jadi umeisha ni ugomvi na kuchukiana
Kuna mtu akifunga Mzize anakasirika.
Kuna mwingine akifunga kapombe anakasirika.
Yanga hawapost picha ya kapombe akishangilia goli na wenzake na Simba hawapost ya Zimbwe.
Tupo pabaya mno
@shebi_iggo Lakini MaOfficer wa Simba wakisema wachezaji wa Yanga wamechoka kuchoma Sindano kama wajawazito ni fresh au sio.?
If it’s a war, It’s a war.