KISWAHILI KUWA LUGHA YA NNE SADC: Baraza la Mawaziri nchi za SADC lapitisha pendekezo la kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya nne ya mawasiliano kwa nchi wanachama #SadcSummit2019#MwananchiUpdates
๐Familia moja huko #Kakamega#Kenya imelazimika kumzika ndugu yao upya baada ya askari wa baraza la mji wa Kakamega alikokuwa akifanya kazi, kumfukua na kumvua sare za kazi alizozikwa nazo.
Je unaweza kuvaa nguo ambazo mtu alizikwa nazo ?
๐๐Je dunia inaenda wapi ?
Jumatano hii tutageuzia macho Uturuki ambapo kivumbi cha UEFA Super Cup kitatimka, je ni Liverpool au Chelsea nani kutwaa ubingwa?
Majibu tutayapa Jumatano hii saa 4 usiku, kupitia Supersport 3 utashuhudia uhondo huu!.