@SuluhuSamia Mama chapa kazi usihangaike na watu wasiokutakia mema , Tegemeo lao walidhani utachemka, Kwa uhodari na uchapa kazi , Ukakamavu ulioonyesha, katika kipindi kigumu umefanikiwa hakuna wa kukusumbuwa, Na tunakuhaidi mitano tena,
@TanzaniaLeaks Kwa kuwa bara memuhitaji. mke mzanzibar na umempenda, Unalalamika nini, Wakati alishakuambia mm sikutaki, Wewe ukasema. Haiwezekani, Bas kama unanipenda nihudumie bara wakakubali sawa, Wewe hayo unayosema yanatoka wapi , wakati wao. wameshakubaliana?
@TanzaniaLeaks Zanzibar hana maslahi na bara, Ukitaka kuamini hilo walishawahi kuliwasilisha ombi bungeni kutaka wajitenge, Kiongozi gani kwa jina namuhifadhi, Alitamka tukiwaruhusu wazanzibar. wajitegemee wataleta vita, Mmeshasaha leo mnaongea utumbo,
@SLikambo64503 @TanzaniaLeaks Nimeona leo nikujibu kwa mujibu wa maneno na vitabu. vya mungu Nanukuu , Hakuna mbora zaidi ya allah(mungu) Ndio. maana akasema ninyi wote ni wachafu kutokana , Nimewaumba kwa maji. machafu amba yatokayo kwa baba na mama, Kwa hiyo una utofauti gani na mm?
@TanzaniaLeaks Na mama utaratibu huu kalisishwa, Huwezi kusema rushwa ya moja kwa moja, Kwa kuwa ccm ni chama kikongwe, Kina wadhamini wengi kutoka nje, na ndani, Nadhani hoja zenu hazina mashiko kwa Wananchi tunaosoma majarida yenu. Kama mchuzi umekosa radha.
@TanzaniaLeaks Ccm imejiwekea utaratibu , kila baada ya miaka mitano, Huwapa baiskeli makatibu wote ccm kata, Kwa ajili ya kuwarajisishia, Shughuli zao, Kama huna cha kuposti, Bola ukanyamaza, Kwa kuwa huu ni utaratibu wao waliojiwekea, Kwa tawala zote sio mama pekee,
@MariaSTsehai Kwa utashi wako na fikra potofu, Rais hawazi kuumwa amekuwa jiwe? Kama binaadam kuumwa ni sehemu ya ibaada, Mara nyingi huwa tuna wasuta , Mtu mzima kuambiwa mbea, Sio jambo jema jifunze kujistili, Lete hoja zenye mashiko, Sio ngonyera kila siku.
@MariaSTsehai Mungu siku zote huwa haipokei dua ya mtu mdhwalim, Pia huwezi kuwafundisha kazi kwa maelezo ya kutoka kichwani kwako, Unataka kuniambia walioko hawajui katiba, Au mtu asitibiwe akiwa hayuko sawa?.
@BrendanGab70465@MariaSTsehai Kama serikali ya ccm hawajafanya chochote katika nchi hii, Nipe data chama kipi. kilicholeta maendeleo na kudumisha amani na utulivu nchini kama sio ccm?. Ulishawahi kusikia ccm wanaandamana?
@NdagijeVeronic2 @Mwanahalisitz @SuluhuSamia Mh, Rais katika ziara yake ya siku sita mkoani Ruvuma, Kwa uhalisia hususani wilaya ya Namtumbo, Ina hadhi gani , Kuazia maji, Afya, Kilimo , na ufugaji? Makao makuu inanakisa maji safi na salama. kwa wananchi wake,
@Mwanahalisitz Kwa ujumla mikoa hii mitatu ,, Lindi Mtwara na Ruvuma , Hii mikoa kama imeingiliwa na laana, Kuanzia viongozi hadi wananchi wake, Hoi taabani kwa kila kitu, Kilichoobaki kitu kimoja tu kinachoitwa Huluma ya Mama hakuna jambo jingine,
@Nleningo84643@MalisaGJ_@PKibatala_ Wasikie mara ngapi , Kwani hawakusema iundwe tume ya kuchunguza mauwaji yanayofanyika, Rais alijibu kwamba sio lazima kufanya jambo kwa sidikizo la nchi fulani, Ukiwa mkuu wa nchi kila idara ipo , Kwa nini wasingesubiri lipoti ndipo waandamane
@mangekimambi Mara nyingi nakurukuu pont zako, kumbe shida kumkomoa mh, Rais ili asipate misaada ya kuendesha nchi, Umemuuliza mbowe kwamba , Ana uhaka wa kuchukua viti vingapi vya serikali za mitaa ili ajiandae kuunda serikali yake 2025,Kama sio wote vipofu 100%
@MalisaGJ_@PKibatala_ Hasara wanayoipata chadema , Kwa maandamano wanakosa mambo mawili ambayo ni hasara kwao na chama chao, (a) kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa ili kutengeneza mtaji wa uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge 2025,(B).Wanapoteza pesa za chama , Kwa mara ya pili,
@Twaha_Mwaipaya@TanzaniaLeaks Chadema wameshakata tamaa ya kuchukuwa dola ya nchi hii, Ningewapingeza iwapo wangepiga kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, Wamekuwa wahuni ,