Huyu ni mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari yaliyofanyika nchini Rwanda mwaka 1994. Anarejeshwa nchini Rwanda kutoka Marekani ili akajibu tuhuma za mauaji.
Kitaaluma ni daktari. Kipindi cha mauaji hayo, alikuwa mwanafunzi akitumika kutoa huduma za afya katika kambi mbalimbali. Hata hivyo nyuma ya huduma alizokuwa akizitoa,inadaiwa alikuwa akitoa taarifa kuhusu maeneo walipokuwa Watusi, kisha wanabakwa na kuuawa.
NB: Nawakumbusha tu wanaharakati: Jinai haifi! Hata kama mtakaa miaka 50, ipo siku wale wanaowatuma watawarejesha kama hivi, kisha mtakutana na mikono ya sheria.
Nimetazama picha za nyumbani kwao Chiba nimebaki mdomo wazi kwa mshangao yaani.
Chiba na Maria akili zao ziko sawa na ukitaka kujua angalia mazingira ya nyumbani kwao wote wawili yalivyofanana.
Jamani jengeni kwenu kuna siku mtakufa mtatia aibu sana!.🚮
@lulurobert__ Kuna vijana Mange anawatumia kama kondom . Aliwaaminisha vijana wakaandamane yeye anatoa ulinzi walivyouawa kawakimbia leo vijana waliobakali wamekuwa kama kondom ya akiba atawatumia tena
@godbless_lema Toa suluhisho kwa hao vijana . Wakiacha bodaboda nchi nzima wafanye shughuli gani kujiingizia kipato? Na je bodaboda ipo Tanzania pekee?
@MariaSTsehai Mtaendelea kubweka kama mambwa , kenya nako ushakimbia . Na kawaida ya wazungu watakutumia kama bigijii kisha watakutema hapo utakuja kunasa kwenye mikono ya serikali kipindi hicho hakuna wa kukusaidia