Matokeo ya mechi ya leo NBC PREMIER LEAGUE.
IHEFU 2 YANGA 1
Mechi ilikuwa Live Shamba Fm.
Ihefu wanaharibu rekodi ya YANGA ya kucheza michezo 49 bila kufungwa kwenye ligi.
#88.5
#ShambaFm#Iringa#KilimoNiMaisha https://t.co/p9H2brv7Nv
Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Kuendeleza Kilimo Nyanda za Juu kusini (SAGCOT), Geoffrey Kirenga amesema upo uwezekano mkubwa kwa Afrika kujitegemea kwa chakula bila kuagiza nje.
@SAGCOT
@GeofrreyK@taha_tanzania@HusseinBashe@ACT_Tz
Sikiliza Live Mkutano wa Wadau wa KILIMO ulioandaliwa na SAGCOT kupitia SHAMBA FM 88.5 Mhz Iringa, Njombe, Morogoro na Dodoma kusikiliza Live Online fuata Link hii https://t.co/zfo8IQI0qY
@GeofrreyK
@SAGCOT
@HusseinBashe