Most people dont know how much money is in the services we offer,like Electric fencing. Sasa kama hii tuseme ni 50/100 it costs around 132,000kes. Na tunaweka na siku mbili.
A month has 30 days, divide by 2 per project, hiyo ni 15 projects per month
Haya, 15 x 132,000kes = 2 million
Two million per month x 12 months?
= 24,000,000kes
24M per year, na bado hatujacount vitu kama CCTV cameras, Access controls, Fire alarm systems,
Mimi ni mtu mambo ikieza amua kuenda msuri nalalisha kitu kama 100Mirrion per year. Miaka tano nimenunua helicopter!
Siet! Leteni kasi aki https://t.co/QqiVqtp6i6
Nimeona tiktok dem akienda na mtoto wake kazi na bwana yake ako kwa nyumba, alafu akiulizwa anasema hawezi jaribu kumwacha na yeye ,anaweza pata amepimwa DNA😭😭
wah??
Lakini naishi a very lonely life. Sina ata marafiki buana. Contact list iko na watu around 25,nkiwa nimecount adi family contacts mbili mbili. Nikiskia call najuanga definitely huyo ni Landlord ama mzazi. Tuko wengi ama niko peke yanguh??
Juzi Mwalimu alipost picha akiwa na kefinii akisema "I missed this arsehole" alafu jana Kefinii anasema his sundus was violated.
Kutoka kwa closet delayed is not Kutoka kwa closet denied.
Many don't know what this means . Tell them if you've to be hired , your salary is quoted in figures starting from a net of 600k monthly. When they engage you online, remind them you're here but you're not like them