Samia anapaswa kupigwa spana na kila mtu. Tulipiga kelele kuhusu bei ya mafuta kuwa juu kiasi kupelekea nauli na bidhaa zingine kupanda. Samia akasema June mosi anashusha mafuta lakini alichofanya ni kushusha mafuta bei ambayo haiwezi kufanya nauli na bidhaa zingine kushuka.Hafai
SSH anapewa ‘comfortability’ ya kutawala kwa awamu ya kwanza, atashinda uchaguzi bila shida, atakwenda awamu ya pili, hawezi kuruhusu CCM kushindwa uchaguzi chini yake, atampa kijiti anayefuata. Tunampa ‘comfort zone’ wenyewe. Tujiangalie!
MMM, Mtikila!
M/kiti achana na hayo mazungumzo,hakuna tutakachopata,wana buytime tu. Movement imetufanya mpaka jumuiya ya kimataifa ikatutambua,kwani mhe mbowe umekutwa na nini ukaamua kukaa na ccm? Yaani pundamilia akakae na Simba ili wafanye makubaliano? P/se tirudishe. @ChademaTz@jjmnyika
Tutafika 2025 tukiwa hatujapata tunachokitafuta mezani na tutapoteza uhalali tulionao kwa umma. 2024 kuna uchaguzi wa serikali za mitaa, urafiki wetu wa mashaka na SSH utatulipa? Tumeuza sera zetu wapi? Tumenadi falsafa na itikadi yetu kwa umma? Kwa kupitia njia gani? Tushtuke.
Polisi akiendelea na ukaguzi nyumbani kwa LILIAN KIMEI Katibu mwenezi Chadema Kanda ya Pwani, wakimtuhumu kutaka kuunda Jeshi la uhasi, pichani anaoneka Polisi akikagua Kombati ya Chadema inayozaniwa ni Sare ya Jeshi la Wananchi 😄😄 imebidi nicheke tu.
POLISI WAPIGA MTU MPAKA KUFA KARATU.
Ni hivi Mwishoni mwa wiki Jana Police Karatu walimkamata Kijana Mmoja kwa tuhuma za wizi na walipo Mkamata wakampiga sana kwa kumtaka aseme na wenzake ambao walikuwa wakishirikiana kuiba sasa huyo kijana Baada ya Kupigwa sana ikabidi aanze 👇
akapelekwa KCMC.
Mheshimiwa huyu Kijana ameuawa kikatili hii inauma sana ameacha Mke na Watoto kwa Kweli Inauma sana 😭😭😭
Tunachoomba kwako tusaidie kupiga kelele Dunia Isikie Polisi wa Karatu wamekuwa wakifanya haya Mara Nyingi sana hata kupiga risasi walishapiga sana.
. @Nnauye_Nape ACHENI kuwaghasi watanzania MASKINI. Gharama za kuweka VIBAO vya anuani za MAKAZI zinapaswa kuwa za WIZARA. Kuwachangisha ELFU KUMI NA TATU ni UTAPELI. ACHA. Umetangatanga na CHOPA ambayo kwa saa ilitumia Shs. 5M, hizo FEDHA tungeweka kwenye vibao. USITUSUMBUE!
Mwaka 2013 Club Billicanas ilifunguliwa baada ya ukarabati wa gharama kufanyika. Ilikuwa ni uwezo wako wa kunywa/kula siku hiyo. Freeman Mbowe alilipa bili zote. 2015 anaingia mwendazake madarakani, anaanza vibweka, 2017 BILLZ inavunjwa kwa unyama. Mwendazake alikuwa katili sana.