@babyboynurse@fiyinolubiyi Its not bad but what she is saying is that, there is more to that 30 mins devotion! What will it benefit an individual if He has 30 minutes daily devotion but the rest hours during the day he or she keeps living for himself!?
@Baby_lovely25 @Its_elknows 😂😂😂😂😂 not true! Nioneshe wanaofundisha free hata 10! Mimi nalipia ndio nasoma!
WE ALL NEED TO PAY THE PRICE! Huyo anytka akufundishe bure na yeye alilipa gharama ndugu yngu!
A good time to make this spread and trend again…….
Let’s go !
Jesus just has to be who He says He is. No one gives this joy that He gives.
We celebrate our king, JESUS !
Naugua kwa kila nafsi iliyopoteza uhai sababu ya kuamini katika haki ya kusikilizwa, iliyokataa kikundi kidogo cha watu kujimilikisha hatima ya maisha na uhai wetu.
Naugua kwa ajili ya waliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki katika kuitafuta haki na sauti ya wengi.
Naugua kwa ajili ya nafsi zilizokengeuka na kuona kuwa madaraka na mali ni sababu tosha ya kuua na kujeruhi. Kwamba, kwa namna yoyote ile, "lazima niwe kiongozi".
Naugua kwa ajili ya wote waliokuwa wakiona dalili zote mbaya za uvunjaji wa haki na bado kuamua kushabikia na kutetea hali hii mbaya, sababu tuu wanategemea malipo ya vyeo, fedha, na upendeleo katika mambo yao.
Naugua kwa ajili ya kila chozi, trauma, na kila aina ya maumivu yatokanayo na njaa na kiu ya haki.
Mungu uliye wa HAKI... UKASIMAME na MAPENZI YAKO YATIMIZWE.
WARUMI 12:19
"bali ipisheni ghadhabu ya Mungu, maana imeandikwa: “Ni juu yangu kulipiza kisasi, nitalipiza,” asema Bwana.🙇🏾♂️🙏🏾
WORLD!!! We are live!!!
GENERATION INTIMACY album is now available on all digital platforms!!!
Go quickly and bask also, Kindly spread the news..
#geni#generationintimacy