Siku ya kwanza ambayo kura za Watanzania zitakuwa na thamani,siku ya kwanza ambayo uchaguzi wa Tanzania utakuwa wa haki na huru, siku ya kwamba baada ya katiba mpya kupatikana………..
SIKU YA KWANZA BAADA YA HAKI KUPATIKANA TANZANIA, HUYU NDIO MTANZANIA ATAKAESHINDA KITI CHA URAIS TENA KWA KISHINDO CHA KIHISTORIA…::
Nilichoongea hapo juu kila mwana CCM anajua na anakielewa na ndio maana wako tayari kuua na kuteka Watanzania ili kuhakikisha haki haipatikani Tanzania.
Leo hapa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es salaam, Mkuu wa gereza la Ukonga (tumtambue kwa jina la Bwana Jela), Afande Andrew Shaban Ntamamiro, anakaangwa ipasavyo na SC Tundu A.M Lissu. Hii ni kesi ambayo imefunguliwa na TAL ikihusu haki zake katika gereza la Ukonga ikiwa ni pamoja na haki ya faragha akiwa na mawakili wake. Upande wa Jamhuri wataamua wenyewe, waendelee kukaa na TAL gerezani wapelekewe moto mahakamani au wamuachie huru haraka iwezekanavyo. Bado kuna kesi ya uhaini, ikiendelea, mashahidi wa TAL wanaitwa kizimbani. Acha kiwakeee.
GIRISHONI amefanya niipakue hii makala, tusikilize wote.
Wote sasa tukatazame makala ya BBC AFRICA EYE ya mwaka 2026 inaangazia mapambano ya kisiasa ya Tundu Lissu na jaribio la mauaji dhidi yake la mwaka 2017, ikionyesha juhudi zake zinazoendelea za kudai mageuzi ya mfumo wa uchaguzi nchini Tanzania licha ya kukabiliwa na mashtaka ya uhaini aliyopewa mwaka 2025.
Halafu baadae tutapata muda wa kujadili kipeperushi cha Serikali katili ya CCM kilichotolewa na GIRISHONI.
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Msikubali kutolewa katika mstari. Adui wa CHADEMA siyo mpya. Adui wa CHADEMA ni DOLA KATILI ya CCM. Kuwa KIONGOZI wa CHADEMA ni kukubali kujitoa MUHANGA. Kuwa mwanachama na mfuasi wa CHADEMA ni kuingia vitani. DOLA katili la CCM halipendi kuiona CHADEMA iliyostawi na IMARA.
Habari niliyopewa usiku huu ni nzito sana.
Watanzania naomba mnisikilize, Heche is a DEAD MAN WALKING….
Huu mpango wa kumuondoa kama kiongozi wa Chadema kupitia kumchafua kuwa kaiba pesa za tone tone ukishindwa kumuondoa CCM watamuua ili waweze kuweka mtu ambae ataipeleka Chadema kwenye maridhiano na kimama.
Yani ni hivi, kimama anataka maridhiano na Chadema at any cost . Yani lazma yafanyike, wamemwaga pesa ndani ya Chadema kama zote ili Heche aondolewe Chadema waweze kuweka mtu wao. Unaambiwa kampeni ya kumchafua Heche ni kubwa na ndo kwanza imeanza, mnaambiwa mpaka kwenye kamati kuu ya chama wanamwaga hela ili aondolewe.
Sasa ikishindikana hiyo plan ya kumuondoa kwa kumchafua kimama yuko tayari kwenda kwenye plan B, to kill him…..
ile ticket and info alioposti Yericko sio Ai au edit it’s real. Kapewa na usalama wa taifa, although Heche hakusafiri. Ila hali ni mbaya kiasi hiko. Mombo anamstalk Heche kila anapoenda anasubiri go head ya kimama then amuue Heche.
Watanzania Heche na Lissu ndio watu wamwisho tulionao wenye msimamo mkali, tumlinde Heche kwa njia yoyote, yani hata ikibidi tupeane zamu kulala nje ya geti lake, au hata tuchange tulipie international security group waje kumlinda other wise HE IS DEAD…
Dear deceased compatriots, may your blood keep speaking up that Samia Suluhu’s bloody regime may never know peace.
Hauwezi kuuwa watu kiasi hiki alafu ujifanye unalinda amani na upuuzi mwingine!
We are sorry, comrades, U didn’t deserve this!
Tunataka uwajibikaji!
Ukiambiwa tunza amani jua wanataka uwe kondoo utawaliwe vizuri. Kataeni upumbavu unaopewa jina la amani na utawala wa damu wa muuwaji Samia Suluhu! We must make these mofos uncomfortable. Hamuwezi kuuwa alafu mtuongoze. NEVER!! Tunataka UWAJIBIKAJI na HAKI.
Hasara tuliyopata tangu Oktoba 29, ikiwemo mauwaji ya maelfu ya watu, ni kubwa kuliko! We can’t allow killer Samia Suluhu to walk past human blood na ikaonekana ni kawaida. Uwajibikaji na haki ni lazima ili kuwe na mwanzo mpya. Samia Must Go!!
Tarehe 29 sio tarehe ya kawaida tena.
Tutawakumbuka daima mashujaa wote waliouwawa wakidai haki.
Na maelfu waliopigwa risasi wakauwawa wakati Samia akijilazimisha kuwa rais wa Tanzania.
Damu zenu zisinyamaze kamwe hadi haki ipatikane.
Rest in power, comrades! #MO29#Saba7
CHADEMA, chama kilichozuiliwa kufanya siasa kwa siku 310 mfululizo, kimeanza mikutano ya hadhara kidogo, MaCCM wameingiwa na hofu na kuzuia mikutano. Hapo bado mashine Tundu A.M Lissu hajatoka gerezani. Tutawapiga spakoo za kutosha sana. Mbogamboga, mbinu hizi za kishamba na kitapeli za kuzuia shughuli halali za kisiasa, hazitawafanya mpendwe, zinazidi kuwajengea chuki kwa wananchi. Kama mlishinda kwa 97% na kupigiwa kura milioni 32, mnawezaje kuogopa chama cha siasa kisichokuwa na mbunge, diwani, mwenyekiti wa mtaa, kijiji au kitongoji? Endeleeni kuzuia, mnavyozidi kutuzuia ndivyo mnavyowatia wananchi hasira na kuwazindua usingizini. Panakaribia kukucha, mamiyakeee. MBORAAAKE. #KatibaMpya #FreeTunduLissu
NB; Kwa huu mtiti, msingejichoma vidole wenyewe, mnuse, halafu mpige chafya (kuzuia mikutano) tungewashangaa sana. Tunawafahamu.
Tume ya Udanganyifu Mkuu chini ya Jacobs Mwambegele ndiyo iliyompigia kura Samia Suluhu Hassan na kumkabidhi uongozi wa nchi hii.
Wananchi wenyewe ndio hawa wapo kwetu.