Huyo jamaa unayemuona anaokota machupa barabarani kuna watu wanamtegemea na kumuombea kwa Mungu kila siku arudi na chakula nyumbani . Mungu anapokuinua kwenye maisha usidharau watu walio chini ni maisha tu ipo siku yao watainuka
Unprofessional kwa uongozi wa @azamtvtz. Wemesema kutakuwa na jambo la @SimbaSCTanzania saa kumi kamili jioni ila kiualisia wanaonyesha Makala ya Singida black star. Huku Azam hawajatoa notification yoyote kuwa JAMBO LA SIMBA Limeishia wapi.
Kama Simba itafungwa kesho sidhani kama baada ya hapo mechi ya Simba na Uto itakuwa ina haki ya kuitwa Derby tena. Ili Mechi zijazo za Simba na Yanga ziwe na mvuto, ushindi wa Simba ni muhimu. Lasivyo Mechi hizi zitachukuliwa kawaida sana.
Dada Wa Nyama Choma (CarolNdosi) ana Mendea TEUZI tokea 2020, mpaka leo Mfumo una Mtema ๐๐คฃ๐.
naona Mwaka huu 2024 ameanza Kutupa karata yake tena.... #CHAWA
@miss__yanga Hii Ratiba itawabana sana Yanga siku ya Tukio. Sidhani kama wataweza kufanya maandalizi ya kutosha uwanjani ilihali siku ya Tarehe Tatu uwanja utakuwabna matumizi mengine.
Mh @MwanaFA pole na majukumu. Naomba kujua tu kwa sasa umehamia Yanga au bado ni Shabiki wa Simba. Naamini kwenye kabati yako ya nguo una Jezi nyingi za Yanga kuliko Simba na unapenda sana kuudhuria Mechi/Matukio ya Yanga kuliko Simba au vip mkuu.
Ili uongee na @VodacomTanzania lazima uwe na kitu kinaitwa connection. Toka saa 12 jioni najaribu kutuma pesa kutoka vodacom kwenda @airtel_tanzania lakini pesa haiendi. Najaribu kuwatafuta Vodacom huduma kwa wateja lakini hakuna option ya kuongea na watoa huduma. Sad