@Sativa255 Ana muunganiko wa piga paipu, mwaga moto kama dragon, mpake mafuta Hadi ameremete, ña operation kataa singo Maza
Oya anacheza kama hatacheza tena
@officielsalome Sally brown umenena jambo jema ukijilinganisha na wengine utahisi huna juhudi kwenye kutafuta kikubwa kupambana na kumtegemea MUNGU
Siku ukija Tanga nicheki tufurahi pamoja
@George_Ambangil Boli linapigwa kimkakati
Kosea uadhibiwe
Hii ni HATUA ya mtoano sio makundi hakuna sehemu ya kurekebisha
Mwelekeo ni MUHIMU kuliko mbio
Ni sawa na mwanaume ukifikisha miaka 40+
@George_Ambangil Umepuñguza comment baada yà kuandika neno Messi hawapeñdi saivi wanamsapoti mpape Ile hali mchezaji wao Bado hajàtoka kwenye mashindàno
@MarekaMalili@TAMWA_Zanzibar Mwanamke amepewa akili nyingi lakini amenyimwa sehemu ya kufanya maamuzi sahihi, atapitia michakato wote ila pale anapotakiwa kuhitimisha ndo anaharibu na kujuta
Mfano mtu anabeba mimba miezi 9 anajifungua kwa uchungu Kisha mtoto anamtumbukiza kwenye shimo la choo
MAAMUZI TATIZO