Mchango Latest Update: Kulikuwa na tatizo kwa wanaotuma kwa njia ya M-Pesa. Tatizo hilo limetatuliwa na wanaweza kutuma kwa M-Pesa tena. Leo ni siku ya tatu na hadi sasa tumepokea jumla ya sh. 16,263,624. Shukrani nyingi kwa waliokwisha, na wanaoendelea, kuchangia. Stay blessed!
Nimewasiliana na @TunduALissu na ameafiki niweke akaunti zake tuweze kumchangia aweze kununua gari - yote yako kwa majina yake na HAKIKI kabla ya kutuma mchango
๐๐ฝUnaweza kumchangia kwa mobile money:
M-Pesa +255 752 31 61 71;
TigoPesa +255 679 22 26 76
๐๐ฝBenki:
Tundu Antiphas Lissu
CRDB Bank PLC,
ACC. TZS 01J2043045300
AU
ACC USD 02J2043045300
(Ukishindwa kuweka J, tumia namba 1)
Kama unatuma kutoka nje ya Tanzania ๐๐พ
Swift Code: CORUTZTZ