Ukitaka kumchukia mtu kwa sababu zako mchukie wewe. Acha kuwaambia na kuwashawishi kimajungu wengine wamchukie mtu kwa sababu zako wewe binafsi maana huo ndo tunaita uchawi.
Good morning ladies and gentlemen 👊🏾
Baadhi ya Ofisi za Serikali zilizotakiwa zikae kwenye jengo moja.
•TRA,Manispaa
•NIDA,RITA,Uhamiaji
•TBS, TFDA, OSHA and Co
•PSSSF,NSSF
Ongezea zingine..