@TheRealEkiswaga@MarekaMalili Nakuelewa may be bado hatujaijua nchi yetu ipasavyo!maeneo hayo yapo mengi sana nchi hii ukifika unaambiwa Kuna mzungu aliishi pale miaka hiyo unabaki kushangaa tu
Anaandika Mwanasiasa Mkongwe na Mlezi wa chama cha ACT-Wazalendo, @zittokabwe :
βBenard Kamungo, Mshambuliaji wa FC Dallas ya Marekani ambaye amecheza Timu ya Taifa ya USA ya under 20 kaamua aipe heshima Nchi ambayo imemlea, Tanzania.
βKakubali kujiunga na Taifa Stars. TFF wamefanya kazi yao na wamemleta. Kwa furaha kajiunga na Kambi ya Timu ya Taifa. First 11 imetoka hayupo hata kwenye Subs. Kisa? Serikali ya Tanzania haijampa Pasipoti.
βNchi nzima inajadili JEZI! Uzuri au ubaya wa Jezi lakini hatuna muda kabisa wa kufanya mambo muhimu. Tunajadili Petty Issues na kuacha mambo ya kimkakati.
βWaziri wa Michezo anashinda kwenye Press kuelezea ubaya au uzuri wa Jezi ilhali angehitaji saa moja tu kuhakikisha mchezaji muhimu kabisa anapata Pasipoti. Waziri wa Ndani anaita wasanii ofisini kukata kesi, Waziri wa Mambo ya nje hata Sijui yupo wapi, Waziri wa Michezo analilia dili la jezi.
βTimu imeachwa! Ndio maana inafungwa hata na Timu ya 132 kwenye FIFA RANKING. Waziri @baba_keagan achana na mambo ya jezi focus on our team.
βWaziri Mahmoud Kombo na Waziri Katambi Timu inakwenda Morocco katika siku mbili hakikisheni suala la Kamongo limekwisha. Hebu tuwage serious na mambo ya Nchiβ
#KitengeSports
@Roma_Mkatoliki Kuna vi media uchwara kibao vivohivo wanamidia wake na wengi ni machalii ambao hawana akili na wananjaa sana,wale waandishi seniors hawaendi kwenye ma press sikuhizi wanabaki ma ofisini wanatuma madogo ila kama press ina maslahi utawaona
@cleansheet_1 Sasahivi ni FIFA break for 2weeks kila timu ina wajibu wa kutumia muda wake vzuri kujiandaa na mashindano mengine hatushindani na πΈ peke yake tuna champions league tuna NBC tuna CRDB etc acheni kudanganya watu
@Jambotv_ Haiwezekani watu wapoteze maisha kwa uzembe na rushwa kwa mijitu michache iliyopo ofisini hawa ni wa kuwajibishwa as soon as possible @mwigulunchemba1
@Jambotv_ Haya mambo ya migogoro ya wakulima na wafugaji yanasababishwa kwa kiasi kikubwa na viongozi wa serikali katika eneo husika ukisikia mpaka wamefikia hatua ya kuuana ujue yameanzia mbali,na hao viongozi wanapewa rushwa hasa na wafugaji @ikulumawasliano@mwigulunchemba1