Maandalizi ya mchezo wetu wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union yanaendeea πππͺ
Tujitokeze kwa wingi kesho kwenye Uwanja wa Mkwakwani kuishangilie timu yetu.
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Tujitokeze kwa wingi kuipa sapoti timu yetu kesho kwenye mchezo wetu wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga πππͺπΎ
#Fans π #TimuYaMwananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Tupo tayari kwa mchezo wetu wa kesho dhidi ya Coastal Union, utakaochezwa ndani ya uwanja wa Mkwakwani kuanzia saa 10:00 jioni πππͺ
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
YANGA NA SHEREHE YAKE: Ilianzishwa mwaka 1935, na sasa imetimiza miaka 86. Haya ni maandalizi ya hafla fupi itakayofanyika hapa kwa Mkapa kabla ya kumenyana na Kagera Sugar.
Nani kusomba alama tatu?
Mechi saa 1:00 usiku na itakuwa LIVE #AzamSports1HD#YangaVsKagera#YangaSC
Karibu Jangwani, Karibu Timu ya Wananchi Fiston Abdoul Razak mtambo wa mabao, fundi wa β½
Timu ya Wananchi imenoga msimu huu π₯
#DaimaMbeleNyumaMwiko
MATCH DAY
Tukutane Uwanja wa Azam Complex Chamazi, kwenye Mchezo wetu dhidi ya Azam Fc utakaoanza Saa 1:00 usiku.
Tujitokeze kwa wingi kuishangilia timu yetu.
#DaimaMbeleNyumaMwiko#TimuYaMwananchi#VPL