HIZI NDIZO BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA KWENYE MIKOA 26 YA TANZANIA.
Pia nimeunganisha na mawazo 190 ya biashara
Kupata hii PDF yenye Pages 10.
commment "nahitaji"
"Repost" hii post
Na, hakikisha umenifollow ili niweze kuingia kwenye inbox kukutumia.
📌
Hii ilikuwa siku yangu yakwanza NA-DEPOSIT pesa kwa broker kutrade FOREX na kuchukua trade yangu ya kwanza...
Na huu uliopo kwenye kimemo ndio Ujumbe aliniandikia Shemeji yenu kwenye Notebook yangu...
Nita-Quote
Ujumbe wakwanza...
"About two Hours to come, we are going to have our first trial in trading Baba angu, i believe in you, mikesha yote umekesha for more than(____) to reach where you are, to learn what you have been wishing to know for a very long time. Basi, may the LORD pay you in your first trial, may he make it success na sio Failure. Nakupenda sana Mchumba angu, i love you mahi"
Ujumbe wapili
"Almalik (jina la kati) Mokiwa, Nakupenda sana babe wangu mimi, Mungu akubariki kwenye kazi za mikono yako, ukawe na baraka siku zote ukawe juu na kamwe sio chini, ukawe Kichwa na wala sio mkia"
Ujumbe watatu...
"You are a man not a boy, Hustler not a receiver...... Nakupenda" (kifungu cha maneno kilichofata hapo nilipoweka gaps kuna neno nimeshindwa kulisoma..
Anyway, To cut the long story short, tha same day i blown that account usiku ule ule (pale aliposema 2hrs to come means ilikuwa saa tano usiku kuelekea saa saba ambapo soko litafunguliwa).
Nilichoma hiyo account, na asubuhi alipo niuliza kama usiku nilitrade nikamwambia "Hapana, nitatrade mchana. Usiku soko lilikuwa chafu, hakukuwa na Setup". Niliamua kumdanganya. Kichwa kiliniwaka moto kwasababu nilikuwa sina hata mia ndani, ghetto kitu cha thamani nilichokuwa namiliki ilikuwa ni Sabufa ya laki na ishirini ambayo na yenyewe nilikuja kuiuza baadae nikadeposit na hiyo hela nayo NILICHOMA!
That woman believed in me, alikuwa anakuja ananishika mikono tunafumba macho anaomba. Mambo yakiwa more tough ananishika kichwa anaomba na kulia na Mungu wake. She had a vision and believed in me. Hii ni kwasababu nilikuwa napambana sana, nakesha sana, najimaliza sana.
I blown that account nikaenda kukopa pesa nika deposit tena, nikapata profit i remember ilikuwa $34 nika withdraw nikampigia simu nikamwambia "LEO TUTANUNUA NYAMA, NA MCHELE LIPIKWE PILAU". At least tulikula pilau, since baada ya hapo ilikuwa ni mwendo wa kuchoma accounts, nikauza na Sabufa yangu. Mwisho nikaishiwa. Nikamuomba anikopee pesa kwa Shoga yake. Akakopa, akanipa na NIKACHOMA HIYO HELA!
But i didn't chose to QUIT. Brother in every wall of my blues that you see, kuna mapambano makali sana nimepigana. Nimepigana vita na Usingizi, nimepigana vita na kuishi kwenye comfort zone, nimepigana vita ya dharau na kebehi kwa wale ambao hawakuwa wanaamini (now they have come to learn from me). Lengo lilikuwa kuuondoa umasikini ambao uliniadhibu vikali. Nimeteseka sana na nakiri, UMASIKINI NI MOJA YA ADHABU KALI nimewahi kuitumikia. There are dark days, i can't narrate. I failed hundred times but now AM HERE. Not so far, but I THANK GOD!
I swear we have years na huyo demu, and I have never cheated on her or even tried!!. Royal😁, na ndiye mwanamke peke ake ukimtoa MAMA yangu ambae anaweza kutumia hela yangu bila manun'guniko. Because she deserve!
FIGHT UNTIL U SEE THE LIGHT...
AM DONE...