#ShangweNaUtukufu@MmboneMercy1 Ni wakati wa kumshangilia Mungu kwa ukuu wake na kumrudishia shukran kwa anayotenda maishani mwetu . Karibu tubarikiwe Pamoja Hadi 6pm ndani ukiwa naye Mercy Mmbone . Unashangilia ukiwa wapi?
@RadioCitizenFM#pambazukajumapili ...Eastliegh Tunashukuru Mungu KWA kutupa Uzima. Sifa na Utukufu Ni ZAKE...Siku NJEMA KWA My Mum Mary Shikuku Wa Bukura.. Suleiman Agnes Tumbogunia.. Elphus Konzolo.. Violet Karani.. Poul Atieli.. @RadioCitizenFM
Hatima ya mwanadamu iko mawazoni mwake. Mungu kashatengea kila mtu hatima yake ila usipoamua haiwezi timia kwa ajili ya vita vya shetani. Apewe sifa Mfalme wa wafalme Yesu Kristo.~ Luke 5:17-20 BREAK OBSTACLES
KARIBU KANISANI @Mulembe_FM@BALOZIASHIALI#KMhwitsomie