Kwa wale mlitaka kujua maoni yangu kuhusu issue ya Trump kusitisha misaada ya dawa za ukimwi na malaria na kadhalikaโฆ.. Najua hamkutegemea niwe na maoni haya ila huu ndio ukweli mchungu
@SuluhuSamia
@Exquisite254 Kuna vile unanichanganya hapa, uliwahi kupost kua uwepo wa aliens ni fiction kwamba hawapo, Leo unasema wanaweza kuwepo upande wa pili wa dunia