@dosantos255@sango_chatta@chapo255 We kama umetapeliwa ni kwa ushamba wako na watu walalamishi kama nyie ndo wepesi sana kutapeliwa maana mnajikuta wajuaji kwa kila kitu, yani mtu anaelezea maisha yake mwenyewe wewe unambishia! Wewe ni mke wake!? Au umesikia ameomba msaada!? Tena unabisha hta bila kusikiliza khah!
@michokhans Mashabiki kama wewe na wenzio mnaoshabikia team yako huwa nawaonea huruma tu maana mnashabikia litimu lina gundu halibebi makombe, haya endelea kujiongelesha hapo asenyani
@abbasX_@michokhans@George_Ambangil Sasa wewe inaonekana uelewa wako upo mbali sana kwenye vitu vingi, hivi unajua maana ya historia lakini!? Wapi nimezungumzia historia mimi!!? Basi nikusaidie kidogo, hapo nimeweka prifile zao sababu wote bado wanacheza na wapo kwenye ubora wao hakuna history hapo hizo ni profile
@abbasX_@michokhans@George_Ambangil Alipotoka wapi!? Mwaka gani? Ligi gani? Joao ameprove epl tangu akiwa na brighton na amecheza mashindano makubwa ktk team kubwa
@abbasX_@michokhans@George_Ambangil Na kwenye kulinganisha huyo igor huwez kumuweka juu ya joao moja kwa moja kisa kamzidi magoli msimu huu kwasabu kwanza huu ndo msimu wake wa kwanza kufanya hivyo, na aina ya team walizopo n tofauti experience, aina ya uchezaji hamfikii ndo mana hata assist hana kumzidi
@abbasX_@michokhans@George_Ambangil Hakuna striker mwenye uwezo kumzini joao kwa brazil hii, na ishu ilikua sio kumlinganisha na neymar, ney na joao ni position tofauti usipotoshe mpira.
@NelsonNgemela@mshambuliaji Wanalalamika wengi wakina nani!? Mnaolalamika si nyie mashabiki wa simba na kwa kawaida mko wengi, na mnalalamika sababu litimu lenu ni libovu mwaka wa 5 huu hamna kombe na kila siku mnafungwa na yanga na mnatafuta visingizio ila kiuhalisia hamna timu ya kushindana na yanga